KERO Kwanini stendi ya Magufuli hakuna viti kwaajili ya abiria(waiting area) kama zilivyo sehemu zingine

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Tnbnotorius

New Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
2
Reaction score
3
Licha ya ukubwa wa stendi ya Magufuli Mbezi na kuwa imejengwa miaka ya hivi karibuni jambo ambalo lingeifanya iwe stendi ya kisasa bado nimegundua hakuna kabisa maeneo maalumu kwaajili ya abiria kusubiri mabasi.

Tunaelekezwa tufike stendi saa moja au angalau nusu saa kabla ya safari kuanza. Abiria wengine wana watoto wadogo au ni wazee pia. Inawezekanaje stendi hii ilijengwa bila kumfikiria kabisa abiria?

Jambo hili linasababisha kero kwa abiria kusimama kwa muda mrefu wakati wa kusubiri usafiri wa basi. Je kuna mpango wowote wa maboresho zaidi au tukajazane tuu kwenye viti vya migahawa midogo iliyopo ndani ya stendi wakati wa kusubiri usafiri?
 
Wamefeli sana kwenye hilo, kwa nini hakuna waiting hall?

Hata hivyo bado hawajafeli, first floor wangeweka open area na viti vya kusubiria, muhimu kuwe na vipaza sauti vya kuwakumbusha abiria basi na mda wa kuondoka, kuwe na screen zinaonyeaha muda wa kuondoka mabasi.
 
Licha ya ukubwa wa stendi ya Magufuli Mbezi na kuwa imejengwa miaka ya hivi karibuni jambo ambalo lingeifanya iwe stendi ya kisasa bado nimegundua hakuna kabisa maeneo maalumu kwaajili ya abiria kusubiri mabasi.

Tunaelekezwa tufike stendi saa moja au angalau nusu saa kabla ya safari kuanza. Abiria wengine wana watoto wadogo au ni wazee pia. Inawezekanaje stendi hii ilijengwa bila kumfikiria kabisa abiria?

Jambo hili linasababisha kero kwa abiria kusimama kwa muda mrefu wakati wa kusubiri usafiri wa basi. Je kuna mpango wowote wa maboresho zaidi au tukajazane tuu kwenye viti vya migahawa midogo iliyopo ndani ya stendi wakati wa kusubiri usafiri?
Huu ni moja ya mradi wa ovyo. Kilichotokea inavyoonekana hapakuwa na ushirikishwaji wa wadau ktk ujenzi, ni jiji tu mtu mmoja au kakikundi walikaa waka design bila kuhusisha hata wenye mabasi na abiria
 
Kuna space ya kutosha kufanya yote hayo, ni bad execution tu!!
 
Viti vya abiria kukaa vipo kule Jengo la abiria, kule lwenye ofisi za mabasi wanapokatia ticket, pia kuna spika ya matangazo, wanatangaza muda wa mabasi kuondoka na manasi yanayoingia pia
 
Licha ya ukubwa wa stendi ya Magufuli Mbezi na kuwa imejengwa miaka ya hivi karibuni jambo ambalo lingeifanya iwe stendi ya kisasa bado nimegundua hakuna kabisa maeneo maalumu kwaajili ya abiria kusubiri mabasi.

Tunaelekezwa tufike stendi saa moja au angalau nusu saa kabla ya safari kuanza. Abiria wengine wana watoto wadogo au ni wazee pia. Inawezekanaje stendi hii ilijengwa bila kumfikiria kabisa abiria?

Jambo hili linasababisha kero kwa abiria kusimama kwa muda mrefu wakati wa kusubiri usafiri wa basi. Je kuna mpango wowote wa maboresho zaidi au tukajazane tuu kwenye viti vya migahawa midogo iliyopo ndani ya stendi wakati wa kusubiri usafiri?
waafrika sio wastaarabu wangevunja hivyo viti...wacha wateseke tu
 
Kwakweli ni mambo ya ajabu sana, it was designed poorly, sijui watu walikuwa wanakimbilia upigaji sijui, hata eneo lenyewe halitoshi ku-accommodate magari yote. Kwakweli kwenye stand ya Magufuli ni kero kwa wasafiri.
 
Mara nyingi design ya miradi ya stend huja na kila kitu ikiwemo maeneo ya garage ila kinachotokea 10% hufanya miradi hyo kufanyiwa redisign na baadhi ya vitu kutolewa ikiwemo hilo na mengine
 
Back
Top Bottom