Tnbnotorius
New Member
- Jul 5, 2018
- 2
- 3
Huu ni moja ya mradi wa ovyo. Kilichotokea inavyoonekana hapakuwa na ushirikishwaji wa wadau ktk ujenzi, ni jiji tu mtu mmoja au kakikundi walikaa waka design bila kuhusisha hata wenye mabasi na abiriaLicha ya ukubwa wa stendi ya Magufuli Mbezi na kuwa imejengwa miaka ya hivi karibuni jambo ambalo lingeifanya iwe stendi ya kisasa bado nimegundua hakuna kabisa maeneo maalumu kwaajili ya abiria kusubiri mabasi.
Tunaelekezwa tufike stendi saa moja au angalau nusu saa kabla ya safari kuanza. Abiria wengine wana watoto wadogo au ni wazee pia. Inawezekanaje stendi hii ilijengwa bila kumfikiria kabisa abiria?
Jambo hili linasababisha kero kwa abiria kusimama kwa muda mrefu wakati wa kusubiri usafiri wa basi. Je kuna mpango wowote wa maboresho zaidi au tukajazane tuu kwenye viti vya migahawa midogo iliyopo ndani ya stendi wakati wa kusubiri usafiri?
Kuna space ya kutosha kufanya yote hayo, ni bad execution tu!!Huu ni moja ya mradi wa ovyo. Kilichotokea inavyoonekana hapakuwa na ushirikishwaji wa wadau ktk ujenzi, ni jiji tu mtu mmoja au kakikundi walikaa waka design bila kuhusisha hata wenye mabasi na abiria
waafrika sio wastaarabu wangevunja hivyo viti...wacha wateseke tuLicha ya ukubwa wa stendi ya Magufuli Mbezi na kuwa imejengwa miaka ya hivi karibuni jambo ambalo lingeifanya iwe stendi ya kisasa bado nimegundua hakuna kabisa maeneo maalumu kwaajili ya abiria kusubiri mabasi.
Tunaelekezwa tufike stendi saa moja au angalau nusu saa kabla ya safari kuanza. Abiria wengine wana watoto wadogo au ni wazee pia. Inawezekanaje stendi hii ilijengwa bila kumfikiria kabisa abiria?
Jambo hili linasababisha kero kwa abiria kusimama kwa muda mrefu wakati wa kusubiri usafiri wa basi. Je kuna mpango wowote wa maboresho zaidi au tukajazane tuu kwenye viti vya migahawa midogo iliyopo ndani ya stendi wakati wa kusubiri usafiri?
Kwakweli ni mambo ya ajabu sana, it was designed poorly, sijui watu walikuwa wanakimbilia upigaji sijui, hata eneo lenyewe halitoshi ku-accommodate magari yote. Kwakweli kwenye stand ya Magufuli ni kero kwa wasafiri.Licha ya ukubwa wa stendi ya Magufuli Mbezi na kuwa imejengwa miaka ya hivi karibuni jambo ambalo lingeifanya iwe stendi ya kisasa bado nimegundua hakuna kabisa maeneo maalumu kwaajili ya abiria kusubiri mabasi.
Tunaelekezwa tufike stendi saa moja au angalau nusu saa kabla ya safari kuanza. Abiria wengine wana watoto wadogo au ni wazee pia. Inawezekanaje stendi hii ilijengwa bila kumfikiria kabisa abiria?
Jambo hili linasababisha kero kwa abiria kusimama kwa muda mrefu wakati wa kusubiri usafiri wa basi. Je kuna mpango wowote wa maboresho zaidi au tukajazane tuu kwenye viti vya migahawa midogo iliyopo ndani ya stendi wakati wa kusubiri usafiri?
Kuna identification, preparations na execution, hapo hayo mawili ya mwanzo hayakufanyiwa kaziKuna space ya kutosha kufanya yote hayo, ni bad execution tu!!