Kwanini Stephen Wassira hafai kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM

Kawaida makamu wa mwenyekiti wa CCM huwa ni mtu mwenye umri mkubwa, ni mzoefu haiwezekani chama kikajaa vijana watupu lazima iwe ni mchanganyiko wa wazee na vijana.

Na sio CCM peke yao, Frelimo na vyama vingine vingi vya Afrika makamu ni mtu mwenye umri mkubwa, nia ni kuweka uwiano kwenye uongozi.

Huwezi kuyaona haya yanayoendelea CHADEMA ndani ya chama kikongwe cha CCM, chama chenye maturity kinajua ni wakati gani wa kuongea na kwa sababu gani.

Hauwezi kuona majibizano ya kina Wenje, Heche na Lema ndani ya siku moja zinaitishwa press conference tatu au nne. Hakuna mtiririko wa kiheshima.
 
Duh hadi wasira nae anataka ulaji uzeen
 
Utaratibu wa CCM ndio huo wa vyama kama Frelimo kule Msumbiji, ni vyama vikongwe.

Siku zote nafasi ya makamu inakwenda kwa mwanasiasa mkomavu na mzoefu anayekwenda kuweka uwiano mzuri wa kiuongozi.

Samia bado ni kijana, Mwinyi Zanzibar bado ni kijana hivyo uwepo wa Wasira unaweka uwiano sahihi wa kiuongozi, asingeteuliwa huyu mzee angeteuliwa Mizengo Pinda ambaye kiumri ni mzee mwingine akiwa na miaka 78.
 
Daah aisee Wasira tena kazi ipo wanaogopa nini kuwapa damu changa tutegemee nini kutoka kwa huyo Mzee..
 
Wazee ndio wanazibia ridhiki vijana. Sasa kuanzia leo tunatangaza vita na wazee.
Maana wao ndio kilasiku wanawambia vijana wajiajili. Huku wenyewe wakiomba kuajiriwa hadi chamani.
 
Mwenzio kuchaguliwa wewe unasema hafai.
Wewe unafaa wapi???
Mbona raisi hajakuona kufaa kwako.
 
Wazee ndio wanazibia ridhiki vijana. Sasa kuanzia leo tunatangaza vita na wazee.
Maana wao ndio kilasiku wanawambia vijana wajiajili. Huku wenyewe wakiomba kuajiriwa hadi chamani.
Kabisaaa
 
Baada ya Uteuzi huu, Lissu atapata tabu sana
 
Wazee ndio wanazibia ridhiki vijana. Sasa kuanzia leo tunatangaza vita na wazee.
Maana wao ndio kilasiku wanawambia vijana wajiajili. Huku wenyewe wakiomba kuajiriwa hadi chamani.

kwahiyo vijana walitaka cheo cha makamo?
 
CHakushangaza vijana wa CHADEMA wanalalamika kuhusu teuzi ya CCM.
 
Wewe ni Mwana CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…