Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Kawaida makamu wa mwenyekiti wa CCM huwa ni mtu mwenye umri mkubwa, ni mzoefu haiwezekani chama kikajaa vijana watupu lazima iwe ni mchanganyiko wa wazee na vijana.
Na sio CCM peke yao, Frelimo na vyama vingine vingi vya Afrika makamu ni mtu mwenye umri mkubwa, nia ni kuweka uwiano kwenye uongozi.
Huwezi kuyaona haya yanayoendelea CHADEMA ndani ya chama kikongwe cha CCM, chama chenye maturity kinajua ni wakati gani wa kuongea na kwa sababu gani.
Hauwezi kuona majibizano ya kina Wenje, Heche na Lema ndani ya siku moja zinaitishwa press conference tatu au nne. Hakuna mtiririko wa kiheshima.