Kwanini suala la la uhaini la Lissu limekosa watetezi kuliko suala la ugaidi la Mbowe?

Mwenye kesi yenye utata anahitaji utetezi mkubwa sana

Ila ambae kesi yake ipo wazi kuwa kaonewa wala haitaji utetezi , anachohitaji ni sauti ya watu( public support)tu ili ukweli usizimishwe.
 
Habari wandugu
Kwa mimi nilikuwa mstari wa mbele sana kumtetea Mbowe kuhusu suala la ugaidi, lakini sina mwamko sana wa kumtetea Lissu na suala la Uhaini japo hana hatia na kosa lake.
Wakati wa kesi ya Mbowe, Chadema ilikuwa moja na wapinzani wengi waliungana kumtetea. Baada ya ushindi wa Lissu, hakufanya jitihada yeyote ya kuziba mpasuko uliotokea wakati wa kampeni. Wale wote ambao walitofautiana na msimamo wake waligeuzwa maadui. Watu ambao walikuwa mstari wa mbele kumpigania Mbowe na Chadema wakaitwa wasaliti. Chama kikawakumbatia wapambanaji wa kwenye mitandao. Imefika mahali watu kama Hilda Newton wanadiriki kumsema vibaya Mbowe! Watu kama Sigrada hawakupewa hata nafasi ya kusikilizwa. Wapambanaji kama Salome Kiwanga wakabezwa kuwa hawajasoma. Wafuasi wa Chadema wakawa wanafanya fujo katika kampeni za Catherine Ruge. Wakina Ruge ndio walikuwa street fighters wa Chadema, sio hao wa club house. Nao wameona, isiwe shida wamejikalia pembeni. Cha ajabu ni kuwa hata wale wapiganaji waliobaki Chadema wamepunguza kasi zao. Ameachiwa Heche na wengine wachache kumpambania Lissu.

Amandla...
 
Sasa kama wewe ni John Mrema, Yericko Nyerere, au uko kwenye mlengo wa hawa watu; unategemea utakuwa na mwamko wa kumtetea Lissu? Mbowe ulikuwa na mwamko naue kwa sababu ni Bosi wako.

Ila sisi wenzako siku zote tunapambana dhidi ya dhuluma! Hatuangalii kama anayedhulumiwa tuna maslahi naye au la.
 
Wakati wa kesi ya Mbowe, Chadema ilikuwa moja na wapinzani wengi waliungana kumtetea. Baada ya ushindi wa Lissu, hakufanya jitihada yeyote ya kuziba mpasuko uliotokea wakati wa kampeni. Wale wote ambao walitofautiana na msimamo wake waligeuzwa maadui. Watu ambao walikuwa mstari wa mbele kumpigania Mbowe na Chadema wakaitwa wasaliti. Chama kikawakumbatia wapambanaji wa kwenye mitandao. Imefika mahali watu kama Hilda Newton wanadiriki kumsema vibaya Mbowe! Watu kama Sigrada hawakupewa hata nafasi ya kusikilizwa. Wapambanaji kama Salome Kiwanga wakabezwa kuwa hawajasoma. Wafuasi wa Chadema wakawa wanafanya fujo katika kampeni za Catherine Ruge. Wakina Ruge ndio walikuwa street fighters wa Chadema, sio hao wa club house. Nao wameona, isiwe shida wamejikalia pembeni. Cha ajabu ni kuwa hata wale wapiganaji waliobaki Chadema wamepunguza kasi zao. Ameachiwa Heche na wengine wachache kumpambania Lissu.

Amandla...
Mpasuko gani chadema ya sasa unaweza kuifananisha ya Mbowe unafikiri kwa nini Lissu yupo jela?
 
Sijakuelewa.
Au ulitaka kuandika " Mpasuko gani? Chadema ya sasa unaweza kuifananisha na ya Mbowe? Unafikiri kwa nini Lissu yupo jela?"
Kwanza kabisa Lissu hayuko jela, yuko rumande. Sasa tutajadiliana nini kama haujui tofauti ya jela na rumande? Si unataka tubishane tu?

Bado unaugulia Maumivu ya Mbowe
 
Bado unaugulia Maumivu ya Mbowe
Sawa. Lakini jifunze kuandika kwanza, utaonekana makini zaidi. Najua huwezi kutambua hilo lakini ukweli ni kuwa haumsaidii Lissu bali unamharibia. Msikilize kwa makini, pengine utajifunza kupanga hoja zako kama anavyofanya yeye.

Mwandiko mzuri sio muhimu mwana cha msingi kujua kuandika mengine tutaona wewe bado unaugulia maumivu pole
 
Nia ya kuandika ni ku communicate. Kama unacho andika haki communicate unachokusudia inakuwa ni kelele tu. Ndio maana hauna zaidi cha kusema zaidi ya kuwa ninaugulia maumivu ya kushindwa kwa Mbowe. Kibaya zaidi ni kuwa hautaki kujifunza. Pole sana.

Wewe huna cha kunifundisha kama ni Comunication skills au Public speaking huwezi kunifikia kwa chochote wewe tulia
 
Lissu Mbona ana watetezi wengi kuliko Mbowe? Ndani na nje na mpaka ndani ya CCM. Samia anamwogopa sana Lissu ndiyo maana anaogopa kuendelea na kesi. Halafu ana msimamo, siyo kama Mbowe alitolewa rumande baada ya kulainika na kwenda ikulu moja kwa moja kumsujudu Samia. Katupotezea muda sana huyu jamaa. Hata angekuwa mwenyekiti kwa maisha asingeweza kufanya hiki Lissu alichofanya kwa muda wa miezi 6 tu.
 
Wewe huna cha kunifundisha kama ni Comunication skills au Public speaking huwezi kunifikia kwa chochote wewe tulia
Wewe huna cha kunifundisha. Kama ni Communication skills au Public speaking, hauwezi kunifikia kwa chochote. Wewe tulia.

Ni kweli siwezi kukufikia au kukufundisha. Mtu ambae haoni sababu ya kuwa na comma na full stop katika maandishi yake, hana cha kujifunza kutoka kwangu.

Kwaheri msomi mwenye communication skills za kiwango cha kimataifa.

Amandla....
 
Back
Top Bottom