AbaMukulu
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 2,053
- 3,586
Supermarkerts/Retailers wakubwa mashariki na kusini mwa Afrika mara kadhaa zimeshindwa kujiendesha ndani ya Tanzania. Shoprite, Nakumatt na Uchumi ni mifano.
Na supermarkets ndogo/uwezo wa kati zimeshindwa kabisa kuwa kubwa Tanzania na kuvuka mipaka ya Afrika mashariki. Village,Shreejis na shoppers zinakuwa mifano kwenye kipengele hiki. Shoppers licha ya kuwepo toka 1997 lakini ina matawi manne tuu, huku matatu yakiwa DSM.
Ni vitu gani vinasababisha tatizo hili?
Na suluhisho ni lipi?
Inashindikana vipi kutengeneza retailers wakubwa kama Walmart, Costco, and Tesco?
Kuna fungamano kati ya TANZANIA YA VIWANDA na masoko ya bidhaa za viwanda hivyo.
Lakini wapiga debe wa Tanzania ya viwanda hawajaweza kuweka fungamano hilo.