Unadhan kwann purchasing power ya watanzania wengi ni ndogo??
Mkuu acha hiyo "infrior complex" ya sisi watanzania tulio wengi....ukikuta watu nanaongea unaanza kufikiri eti wanakusema wewe mtu akicheka vyake unafikilia anakudharau wewe, akinunua gari unaanza kufikilia anataka kukuonyesha wewe, "inferior complex" ni ungojwa hatari sana for personal development.....kwa mfano supermarket hakuna mahara pa kuzngmza na mtu zaidi ya kuchangua bidha yako na kulipia pale teller tena bei inaonyeshwa tu pale pale hamna longolongo....eti kakupiga chajuu au amekokotowa vibaya...... nifkra za watu wasio jiaaminiKitu kikubwa ambacho wengi hawakioni na kinaua sana biashara ni customer care.......
Wahudumu wetu kwenye maduka haya hawako friendly na wateja........
Wao wenyewe wanaamini kuwa hizo shops ni kwa ajili ya watu wenye kipato kikubwa....ukienda Mtu kama mimi wanaanza kukuonyeshea dharau nje nje.....sasa ni nani anapenda kudharaulika na pesa yake wakati hizo huduma zinapatikana mtaa wa pili.......
Haya mambo ni mageni kwenye jamii za Watanzania lakini wahudumu wa hayo maduka makubwa wangefanikiwa kuifuta hii dhana kwa huduma nzuri kwa wateja.........
Pamoja Na sababu zingine nyingi lakini hilo la customer care ni jambo la msingi snaa na biashara nyingi zimekufa kwa kuchangiwa na hilo......
Ndio nangoja jibu lake mkuu. Siku zote nasemaga muda judge mzuri.atakwambia sababu ya bavicha!!
Kumbuka unaongea na mhanga wa moja kwa moja wa matukio hayo.....!!!Mkuu acha hiyo "infrior complex" ya sisi watanzania tulio wengi....ukikuta watu nanaongea unaanza kufikiri eti wanakusema wewe mtu akicheka vyake unafikilia anakudharau wewe, akinunua gari unaanza kufikilia anataka kukuonyesha wewe, "inferior complex" ni ungojwa hatari sana for personal development.....kwa mfano supermarket hakuna mahara pa kuzngmza na mtu zaidi ya kuchangua bidha yako na kulipia pale teller tena bei inaonyeshwa tu pale pale hamna longolongo....eti kakupiga chajuu au amekokotowa vibaya...... nifkra za watu wasio jiaamini
Unge jaamini unge msema kwa utawala..... hiyo siku angefukuzwa lbda hiyo supermarket iwe ya umma sio tasisi binafusiKumbuka unaongea na mhanga wa moja kwa moja wa matukio hayo.....!!!
Nilishawahi kupewa lugha ya kejeli na binti mmoja kwenye super market jina nalihifadhi.....
Aliniambia kabisa kuwa Sisi wamatumbi na mambo ya super market wapi na wapi..!!?
Je hiyo ni inferiority complex au ni shambulio la aibu...!!?
Labda kama Wewe huishi hapa nchini.....Unge jaamini unge msema kwa utawala..... hiyo siku angefukuzwa lbda hiyo supermarket iwe ya umma sio tasisi binafusi
Hapana....supermarket zinaongeza ajira kipato cha serikali uzalishaji wandani (local production) nakupunguza mgojwa ya mlipuko kama kipindupindu kuharisha nk. Kwamfano supermarke ya kati inauwezo wa kuajiri watu 50-150....kwahiyo mtaa moja ukiwa na supermarket 4 tu vijana zaidi ya 500 watapata ajira za wakika kila kijana akiwa na mke nawatoto 2 = 500×3 wtz watapata maisha mazuri, serikali intapata mapato mzri tu.....kuliko ku angaika na vigenge vinavyo saidia familia chache na pia havina good hygiene and sanitation
Labda kama Wewe huishi hapa nchini.....
Watanzania wengi ni wahanga wa customer care...!!!
Mkuu unaloeleza ni sawa, isipo kua kila jambo lina advatange na dis advantage, ila katika hili nchini Tz advantsge ni nyingi......strong and huge supermarkets ni chachu kumbwa katika local industries na ajira kwa vijana....... eti masoko kama Tandale Buguruni nk zi boreshwe....nikama utopian ideals hatuna uwezo wakuzijenga na kulipia pango e.g. machinga complex ilala...serikale za ki Africa kama ya kwetu ziko very complicated with no single economic focus strategy and priority.....nta kupa mfano mgine Wal-Mart store in Ireland imeajiri direct and indirect watu 110,000 hizo ajira zikija bongo tutapata strong middle class......"free market and lessez fair policy" is the solution for Tz.Sipingi kuwa na supermarkets rather the kind of monopoly or few companies to dominate this sector. Mfano UK is controlled by big 4 Tesco, Asda, Sainsbury and Morrisons.
Disadvantages.
1. Low paid jobs.
2. Lack of Job security.
3. Late payment for suppliers as they know you have nowhere else to go.
4. Restrictions, They might tell you to sell your product exclusive to them at certain price.
5. A lot of money go to one family or few people.
6. They can hike the price when they see fit.
7. Initial they will create jobs but later because of pursuit of profit, innovation, technology, automation have tendency to actually reduce jobs in supermarkets in some advanced countries.
7. They buy products wherever is cheap even if is outside the country.
8. They employs anybody foreigner or local as long as you got skills.
9. Will register their company abroad and small subsidies in the country (e.g Acacia) in order to pay as low tax as possible.
So most of these corner shop, and small traders ll have to close and go to work in supermarkets.
I would prefer for us to upgrades all our markets so they become Super-market and Superstore which means clean, modern, convenience, good transport link, safe, fast, enjoyable experience) Unajua tuna masoko makubwa lakini ni machafu sana kama kariakoo, Ilala Boma, Buguruni.
To do that you need competition and different players in the market place
Taasisi mbali mbali kama Pension funds (NSSF, PSPF v), Cooperative unions, Farmers unions, market traders organisation wanaweza kuanzisha supermarkets to compete with the bigger player.
Hizi taasisi zitakuwa zinaweka maslahi ya wadau wote na wafanyakazi wao wote as their top priority e.g Waitrose or John Lewis. Pia watatoa competition kwa kampuni zingine kubwa.
Mkuu ukiruhusu Kampuni kama wallmart ambayo mapato yake labda ni makubwa kuliko ya serikali ya TZ, na wana uwezo kwa wa kununua nafaka zote nchini bila usimamizi thabiti and competition unaweza kuleta madhara makubwa.
Let them in, but lets have check and balance, and protection for suppliers and workers.
HahahahaTatizo kubwa na la msingi ambalo wengi hatulioni, Labour. Hakuna familia hapa Tanzania ambayo inamuandaa mtoto kuwa mfanyakazi wa mtu bali zote zina ndoto za watoto wao kufanya kazi serikalini. Matokeo yake, hao wanakwenda kufanyakazi kwenye Supermarket, wanakuwa ni reject ya mfumo na wengine ni wanaosubiri fursa bora zaidi na hivyo huwa wanajishikiza tu.
Pia labour yetu haina integrity. Uaminifu ni ziro. Kwa muwekezaji, ni bora asione hela lakini bidhaa ziwepo. Kwetu hapa ni tofauti kabisa. Hutakuta bidhaa zilizobaki, wala fedha za mauzo. Bali MANENO.
Jibu ni rahisi tu, purchasing power Tanzania ni ndogo sana, yaani watu wenye uwezo wa kununua vitu vingi kwa wakati mmoja ni wachache sana hivyo hawatoshi kuifanya Supermarket itengeneze faida.
Sehemu kubwa ya Watanzania wanamudu kununua vitu gengeni au sokoni!
Hili ndio jibu fasaha. Huwa nakukubali sana ila hiyo avatar tu! ndio huwa siipendi.Jibu ni rahisi tu, purchasing power Tanzania ni ndogo sana, yaani watu wenye uwezo wa kununua vitu vingi kwa wakati mmoja ni wachache sana hivyo hawatoshi kuifanya Supermarket itengeneze faida.
Sehemu kubwa ya Watanzania wanamudu kununua vitu gengeni au sokoni!
Mkuu umemaliza yote. Tanzania mtu ukiingia kwenye super market kama huonekani kuvaa vizuri na una fedha utaangaliwa kwa jicho la dharau hakuna. Na mbaya zaidi wengi wa wanaohudumia hizi shehemu ni wasichana. Sasa mimi huo muda wa kwenda kuangaliwa kama mwizi nitautoa wapi wakati nikienda sokoni nanyenyekewa na nyongeza napewa. Halfu jambo jingine: Pamoja na faida za kufanya shoping supermarkets lakini bado nikiwa Tanzania sidhani kama advantegs zina overweigh disadvantages. Wenzetu wanategemea super markets kwa sababu mifumo, mazingara na watu wao hajaruhusu mangenge na masoko madogo madogo kama huku kwetu. Sisi tuna labour ya kutosha kiasi ambacho mtu anaweza kuendesha maisha yake kwa kutegemea kuuza machicha tu. Na mteja unapata mchicha fresh kila siku.Kitu kikubwa ambacho wengi hawakioni na kinaua sana biashara ni customer care.......
Wahudumu wetu kwenye maduka haya hawako friendly na wateja........
Wao wenyewe wanaamini kuwa hizo shops ni kwa ajili ya watu wenye kipato kikubwa....ukienda Mtu kama mimi wanaanza kukuonyeshea dharau nje nje.....sasa ni nani anapenda kudharaulika na pesa yake wakati hizo huduma zinapatikana mtaa wa pili.......
Haya mambo ni mageni kwenye jamii za Watanzania lakini wahudumu wa hayo maduka makubwa wangefanikiwa kuifuta hii dhana kwa huduma nzuri kwa wateja.........
Pamoja Na sababu zingine nyingi lakini hilo la customer care ni jambo la msingi snaa na biashara nyingi zimekufa kwa kuchangiwa na hilo......
Mkuu unaloeleza ni sawa, isipo kua kila jambo lina advatange na dis advantage, ila katika hili nchini Tz advantsge ni nyingi......strong and huge supermarkets ni chachu kumbwa katika local industries na ajira kwa vijana....... eti masoko kama Tandale Buguruni nk zi boreshwe....nikama utopian ideals hatuna uwezo wakuzijenga na kulipia pango e.g. machinga complex ilala...serikale za ki Africa kama ya kwetu ziko very complicated with no single economic focus strategy and priority.....nta kupa mfano mgine Wal-Mart store in Ireland imeajiri direct and indirect watu 110,000 hizo ajira zikija bongo tutapata strong middle class......"free market and lessez fair policy" is the solution for Tz.
You are absolutely right 100% free economy is not healthy for growing economy like ours, government regulation are very vital......but on what? What is our economic strategy is to promote local industiies, encourage foreign investment, tourism or to promote agriculture......my argument is we are not focussed on what to protect. protectionism would interprete our national priorty our country is very funny. Protecting whatever, even things that have no economic impact on the economy......imagine controlling prices on things even you don't produce....have you ever wondered why the transport industry epecially tax is dwindling ?Hapo Ireland kuna sheria za EU zinazowalinda wafanyakazi na suppliers. Pia wakulima wanapata ruzuku nyingi sana. Kwa hiyo hata sisi we need system which allow competition, efficiency and freedom but also offer protection for certain groups and sector of society. Mixed economy with certain controls.
Unregulated free market and laissez-faire economy to which both government and the whole society are subordinate to market forces of supply and demand will always end in disaster like 2008 credit crunch and financial crisis.
There is really no 100% unfettered free market and laissez-faire economy anywhere in the world as far as i know. USA, EU, China, Russia and India all of them protect certain sectors. It is all about proper checks and right balance for economy.
Unaniongelea mimi nini? Sijui ni kwanini lakini najiona kama ''nimekinai'' kununua vitu super market! Labda kwa sababu niwahi kuishi kwenye nchi ambazo super markets ni kila kitu. Nikienda sokoni nachagua kuku na kuchinjiwa hapo hapo, kwanini nikanunue aliyekaa kwenye freezer kwa siku kadhaa? Nikienda buchani nanunua nyama ya siku hiyo hiyo, kwanini nikimbizane na nyama za wiki jana kwenye supermarket? Mboga mboga, matunda nk ni hivyo hivyo. Kwa kifupi nikiwa Bongo supermarket nitaenda kununua vitu ambavyo haviko mtaani tu!
Hapana....supermarket zinaongeza ajira kipato cha serikali uzalishaji wandani (local production) nakupunguza mgojwa ya mlipuko kama kipindupindu kuharisha nk. Kwamfano supermarke ya kati inauwezo wa kuajiri watu 50-150....kwahiyo mtaa moja ukiwa na supermarket 4 tu vijana zaidi ya 500 watapata ajira za wakika kila kijana akiwa na mke nawatoto 2 = 500×3 wtz watapata maisha mazuri, serikali intapata mapato mzri tu.....kuliko ku angaika na vigenge vinavyo saidia familia chache na pia havina good hygiene and sanitation