Dra Maxie
Senior Member
- Dec 9, 2022
- 143
- 216
Kwanini suplementally na incomplete hazifanyiki kwa pamoja? Yaan unakuta mtu hakufanya mitihani kadhaa halafu baadhi akafanya sasa kwa bahati mbaya aka sup moja wapo lakini siku ya second sit anaambiwa afanye tu incomplete halafu Sup mpaka baadae why?
Sababu ni kama kumpotezea mtu muda. Mdogo wangu alipatwa na huo msala na akakata tamaa kabisa.
Yaani mfumo wa hivi vyuo haueleweki kabisa.
Sababu ni kama kumpotezea mtu muda. Mdogo wangu alipatwa na huo msala na akakata tamaa kabisa.
Yaani mfumo wa hivi vyuo haueleweki kabisa.