hakuna cha uelewa, ni kuwa policy yao ya examinations wameipanga hivyo. Unasema kweli ni usumbufu...vyote vingeliweza kufanyika wakati mmoja..........kama ilivyo kwa Universities (sijui kama bado wanaendelea na utaratibu huo)Kwanini suplementally na incomplete hazifanyiki kwa pamoja yaan unakuta mtu hakufanya mitihani kadhaa afu baadhi akafanya sasa kwa bht mby aka sup moja wapo alofanya lkn siku ya second sit anaambiwa afanye tu incomplete afu sup mpaka baadae why?? Coz ni kma kumpotezea mtu muda
Mdogo wangu alipatwa na huo msala na akakata tamaa kabisa
Yaan mfumo wa hivi vyuo haueleweki kabisa
Yeah wanaendelea hadi sasa labda kma ni mwaka huu wamebadilishahakuna cha uelewa, ni kuwa policy yao ya examinations wameipanga hivyo. Unasema kweli ni usumbufu...vyote vingeliweza kufanyika wakati mmoja..........kama ilivyo kwa Universities (sijui kama bado wanaendelea na utaratibu huo)
Huku chuo kikuu SUP na incomplete Pamoja na special hufanyika siku moja na watu huwa wanaudhuria tarehe zilezileYeah wanaendelea hadi sasa labda kma ni mwaka huu wamebadilisha
Ili mtu ukae na ufanye mtihan wa wizara kwa first sit lazima ukamilishe components zifuatazo, assignments mbili, cats 2 na uwe above average kwa kila somo amballo utafanyia mtihan ndo utaratibu waliowek wizara. Sasa unapomiss baadhi ya hizo components au kuwa below ya pass marks vinapelekea kushindwa kufanya mtihan wake na sababu nyingine inayopelekea kupata incomplete ni kuchelew kweny chumba cha mtihan ambapo baada ya dkk30 za mwanzo mwanafunz hatoruhusiwa kufany huo mtihan na kuna baadhi ya vyuo wengine wanakuw hawajakamilisha malipo kwa wakati maalumu hii pia inapelekea kupata incomplete.Kwanini suplementally na incomplete hazifanyiki kwa pamoja? Yaan unakuta mtu hakufanya mitihani kadhaa halafu baadhi akafanya sasa kwa bahati mbaya aka sup moja wapo lakini siku ya second sit anaambiwa afanye tu incomplete halafu Sup mpaka baadae why?
Sababu ni kama kumpotezea mtu muda. Mdogo wangu alipatwa na huo msala na akakata tamaa kabisa.
Yaani mfumo wa hivi vyuo haueleweki kabisa.
Sasa kwa vyuo vya kati inakuwa tofauti na iyo inapoteza malengo ya watu wengi coz mtu atatakiwa akae kitaa mwaka mzima mpka supHuku chuo kikuu SUP na incomplete Pamoja na special hufanyika siku moja na watu huwa wanaudhuria tarehe zilezile
Mbaya sanaIli mtu ukae na ufanye mtihan wa wizara kwa first sit lazima ukamilishe components zifuatazo, assignments mbili, cats 2 na uwe above average kwa kila somo amballo utafanyia mtihan ndo utaratibu waliowek wizara. Sasa unapomiss baadhi ya hizo components au kuwa below ya pass marks vinapelekea kushindwa kufanya mtihan wake na sababu nyingine inayopelekea kupata incomplete ni kuchelew kweny chumba cha mtihan ambapo baada ya dkk30 za mwanzo mwanafunz hatoruhusiwa kufany huo mtihan na kuna baadhi ya vyuo wengine wanakuw hawajakamilisha malipo kwa wakati maalumu hii pia inapelekea kupata incomplete.
Nije kweny swali lako Nacte wameweka utaratibu kwamba mwanafunzi kama matokeo yake kuna baadhi ya mitihani hakufanya huwa wanaziba matokeo ya mwanafunzi huyo na kumpa nafasi ya kufanya ile mitihan ambayo hakufanya na ndio matokeo yake yatoke kwa pamoja kama hukukamatwa na sup unaendlea na semister nyingine na kama ulinaswa inakubidi uchill ujiandae na sup zako.
Huu utaratibu uliowekw na nacte ukikaa vibaya unaweza ukapotez hata semister 3 wenzako wanaendelea tu