Kwanini suti ni lazima kwa harusi ya Kikristo?

Kwanini suti ni lazima kwa harusi ya Kikristo?

kununua utanunua na utavaa, ni utoto ukikua utajua
may be nitakuja kununua,siwezi kubisha, si unajua maisha bhana. Kwanza kazi yangu ninayosomea haitanilazimu kuvaa suti. but sio utoto, kuvaa ni interest ya mtu ndugu.
 
Kwa wanaume SUTI ni vazi la heshima na ndoa ni heshima pia katika jamii
sema ni mojawapo kati ya mavazi ya heshima, sio suti tu ndio vazi la heshima... Na usifikiri suti ni heshima, heshima ni jinsi unavyojiweka mwenyewe.
 
ni utaratibu wa kimagharibi tumeiga,jadi yetu ilipaswa kuvaa shuka, kifimbo huku ukivalishwa shada la mauwa ililofungwa kwenye majani ya migomba nk. labda bujibuji nkuulize kwani kuvaa suruali ni lazima? si kwa vile tumekuta wazee wanavaa na sisi tukavaa,zipo jamii hadi leo hawavai nguo na kwao ni sawa,angalia avatar ya THEONE inaonyesha jamii fulani na ndio jadi yao, ila kwa vile tumestaarabika walau usiwe kinyume sana na wenzio kama hicho kitu hakiathiri maisha yako,.
 
Sio lazima... Watu wanavaa kwa mazoea, unaeza kuamua kuvaa tofauti na ukatoka bomba vile vile..

Ni kweli kabisa Sweetlady. Nimewahi kuona picha hata za Watanzania waliovaa mavazi tofauti na suti na kusema kweli walipendeza sana. Ni uamuzi tu na yako mavazi mengi sana katika nchi mbali mbali za Kiafrika ambayo unaweza kutoka bomba sana siku hiyo muhimu.
 
Hata ukisema uvae magwanda, still ni suti. Kwa nini suti ni lazima siku ya harusi?
Bujibuji nasikia unatoka kabila la wacha Mungu, ila naamini umeasi dini kwa kutokwenda kanisani na hivyo kutojua ABCs. Hakuna sheria zilizoandikwa kuhusu kuvaa suti wakati wa kufunga ndoa. Unavaa chochote chenye kuleta heshima sawasawa na maadili ya jamii zetu.
 
nani kasema lazima. aende kwa kakobe kama atakuta suti.
 
sema ni mojawapo kati ya mavazi ya heshima, sio suti tu ndio vazi la heshima... Na usifikiri suti ni heshima, heshima ni jinsi unavyojiweka mwenyewe.

sijasema suti ni heshima bali nimesema ni vazi la heshima,na kuvaa ni interest ya mtu ila kuna wakati inakubidi uvae suti.
Pamoja sana
 
sijasema suti ni heshima bali nimesema ni vazi la heshima,na kuvaa ni interest ya mtu ila kuna wakati inakubidi uvae suti.<br />
Pamoja sana
sawasawa, nimekuelewa. Sina ubishi maana inaweza kweli siku ikanibidi nivae. pamoja G Crisis.. Jumapili ngema ndugu.
 
mbona kila nimuoaye anavaa suti? Tena wakikosa uwezo wa kununua, wanaenda kuzima?


Unajua swali zuri sana, maana kwasisi wa kristo hatutegemei mtu kuto elewa kwanini wanavaa suti na hatutegemei wenzetu wa dini nyingine kuto elewa kwanini ssi tunavaa suti, Majibu yamesha jibiwa na wengi, kuwa Suti sio lazima, ila kwa utamaduni wa dini ya Kikristo ambao una changia maisha ya kimagharibu suti ni vazi linalo onekana ni la heshima zaidi na ni inapendeza zaidi kuvaliwa kwnye sehemu malum mojawapo kwnye harusi , ila sio lazima ,unaweza vachochote cha heshima ambacho hakita leta tafrani kanisani, nikiw ana maan huwezi kwenda uchi, uchi huo nikiw ana maana uchi kwa utamaduni wa kizungu .

Pia ningependa kutambua kwa waislamu je ,unaweza oa bila kanzu ? tunafahamu kwa mwanamke wa kislamu kujifunika ni sheria , je naye anaweza olewa bila kujipaka Hena?
 
Kama kuna mwana JF ambaye siku ya harusi yake hakuvaa suti, naomba atutumie picha, nataka niige style, nimechoshwa na mambo ya suti
saka Mrisho Mpoto... walau keki ilikuwa boga.. kinywaji Dafu...!!
 
Hata ukisema uvae magwanda, still ni suti. Kwa nini suti ni lazima siku ya harusi?
Kwa kuwa mada ni kuhusu arusi za Wakristo na suti, kwa nini baadhi ya waislamu wanavaa suti vilevile? Ni uamuzi ambao hauna ulazima wa dini.
 
Suti ni vazi la heshima😄😄
Kwan ww ulitaka kuvaa/avae nn labda tofauti na suti!
 
Back
Top Bottom