may be nitakuja kununua,siwezi kubisha, si unajua maisha bhana. Kwanza kazi yangu ninayosomea haitanilazimu kuvaa suti. but sio utoto, kuvaa ni interest ya mtu ndugu.kununua utanunua na utavaa, ni utoto ukikua utajua
sema ni mojawapo kati ya mavazi ya heshima, sio suti tu ndio vazi la heshima... Na usifikiri suti ni heshima, heshima ni jinsi unavyojiweka mwenyewe.Kwa wanaume SUTI ni vazi la heshima na ndoa ni heshima pia katika jamii
Pedo pusha ndo zitawapendeza zaidiBujibuji ulitaka wavae Kanzu?
Sio lazima... Watu wanavaa kwa mazoea, unaeza kuamua kuvaa tofauti na ukatoka bomba vile vile..
Bujibuji nasikia unatoka kabila la wacha Mungu, ila naamini umeasi dini kwa kutokwenda kanisani na hivyo kutojua ABCs. Hakuna sheria zilizoandikwa kuhusu kuvaa suti wakati wa kufunga ndoa. Unavaa chochote chenye kuleta heshima sawasawa na maadili ya jamii zetu.Hata ukisema uvae magwanda, still ni suti. Kwa nini suti ni lazima siku ya harusi?
Kuna haja ya kuwa na vazi la kitaifa
sema ni mojawapo kati ya mavazi ya heshima, sio suti tu ndio vazi la heshima... Na usifikiri suti ni heshima, heshima ni jinsi unavyojiweka mwenyewe.
sawasawa, nimekuelewa. Sina ubishi maana inaweza kweli siku ikanibidi nivae. pamoja G Crisis.. Jumapili ngema ndugu.sijasema suti ni heshima bali nimesema ni vazi la heshima,na kuvaa ni interest ya mtu ila kuna wakati inakubidi uvae suti.<br />
Pamoja sana
mbona kila nimuoaye anavaa suti? Tena wakikosa uwezo wa kununua, wanaenda kuzima?
saka Mrisho Mpoto... walau keki ilikuwa boga.. kinywaji Dafu...!!Kama kuna mwana JF ambaye siku ya harusi yake hakuvaa suti, naomba atutumie picha, nataka niige style, nimechoshwa na mambo ya suti
Kwa kuwa mada ni kuhusu arusi za Wakristo na suti, kwa nini baadhi ya waislamu wanavaa suti vilevile? Ni uamuzi ambao hauna ulazima wa dini.Hata ukisema uvae magwanda, still ni suti. Kwa nini suti ni lazima siku ya harusi?
wewe kwako ilikuwaje?Hata ukisema uvae magwanda, still ni suti. Kwa nini suti ni lazima siku ya harusi?
Nilivaa kaniki ya kampenyokowewe kwako ilikuwaje?