Kwanini T-shirt ya Pheran Torres haina Logo ya Barca wala nike ?

Kwanini T-shirt ya Pheran Torres haina Logo ya Barca wala nike ?

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Kwa walio bahatika kutazama mechi ya Europa ilio wakutanisha Barcelona dhidi ya Napoli kuna jambo kisilo la kawaida kwa hii jezi ya Pheran Torres kuto kua na Logo ya Timu wala mdhamini wa jezi yani Nike

Kwa anae fahamu zababu anijuze

IMG-20220217-WA0069.jpg
 
Back
Top Bottom