Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?

Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?

Amani Ne

Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
11
Reaction score
10
Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?

Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?​

Shukuru kwanza umepata Ajira...Izo hela za kujikimu una uhakika serikali imezitoa au Taasisi ndio ibane matumizi ili iwalipe?

Ungejua kwanza utaratibu mm ninachojua izo hela Taasisi inabidi ijibane sehemu ndio mlipwe nyie kwaiyo kuweni wapole wenzenu walimu iyo hela hawalipwagi maisha yao yote
 
Hiki ni kilio cha wengi..wanalia kimya kimya ukishauti tu imekula kwako
 
Back
Top Bottom