Shukuru kwanza umepata Ajira...Izo hela za kujikimu una uhakika serikali imezitoa au Taasisi ndio ibane matumizi ili iwalipe?
Ungejua kwanza utaratibu mm ninachojua izo hela Taasisi inabidi ijibane sehemu ndio mlipwe nyie kwaiyo kuweni wapole wenzenu walimu iyo hela hawalipwagi maisha yao yote