GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
🤔Pole sana!
Wenye ngoma utawajua tu
Kwa hio unavyotaka kutuambia DOTTO MAGARI ana umeme wa kuchomelea Mageti au ana umeme gani grid ya Taifa?Na tulivyo Wapumbavu zaidi tunamcheka Dotto Magari kuambiwa ana VVU ambao hata hatujahakikisha kama anao kweli huku tukisahau kuwa wengine hapa huko katika Familia zetu si tu tunauguza bali tumeshazika Ndugu zetu wengi na baadhi yetu pia (GENTAMYCINE Simo) tumeshaathirika, ila tunazuga tu kupitia Kumcheka Dotto Magari.