Kwanini taifa la Nigeria limetawala sekta nyingi sana na kuwa na masupa star Wengi Sana na mabilionea?

Daah Pascal umeamua kuuza chai..
 
Nigeria mnigeria akitaka hati ya kusafiria haitishwi cheti cha kuzaliwa cha bibi wa mama yake!

Kule hakuna mashtaka ya utakitishaji fedha, sijiu uchochezi wala makosa ya kumtusi rais.

Wenzetu sio aibu kushindwa kwenye box la kura.



Tupende weka akiba ya maneno!..
 
Hahaha ila jamaa anatuokota kwelikweli....1978 pop 150!!!! Na wanavyozaliana sahivi si wangekuwa wanaitafuta B...
 
Haha baba hapo kwenye Nigeria tushushe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…