ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,623
- 803
Daah Pascal umeamua kuuza chai..Nigeria ina dorminate kutokana na idadi ya watu. Kwa mujibu wa sensa yangu ya kwanza ni sensa ya mwaka 1978 sisi Tanzania tukiwa milioni 19, Nigeria walikuwa milioni 150!. Hivyo success kwenye kila kitu inatokana na idadi ya watu. Wachina wako bilioni 1.5 ndio wanatawala dunia.
Hata kwa Tanzania kati ya watu milioni 50, Wasukuma ni 10 million na ndilo kabila linaloongoza kwa fertility rate, procreation rate, na birth rate hivyo 2099 Wasukuma tutakuwa milioni 50 Watanzania tukiwa milioni 150 kama Nigeria ile.
P