johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waziri husika na Wizara hiyo hakwenda hapo awali, Sembuse Waziri Kivuli!Watanzania ni watu wa ajabu sana na hasa wale wanaojiita " makamanda " yaani timu yetu ya taifa inafungwa wao wanashangilia.
Mbaya zaidi wanashangilia wapinzani wetu katika mechi muhimu ambayo ilikuwa ni lazima tushinde.
Halafu na nyie akina Haji Manara huko Misri mnajigharamia wenyewe au ndio mnabunya zile milioni 370 alizotuchangishia mama Samia kwa ajili ya wachezaji wa Taifa stars?!
Isijekuwa nyie ndio mmekuwa mnasababisha wachezaji wetu wapate lishe duni kwa kuhemea posho zao maana tulisikia wanalipwa dola 75 badala ya 300.
Na wewe Sugu ( waziri mbadala wa michezo) mbona uko kimya sana hata Cairo hujaonekana?!!
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Huipendi nchi yako?!Sasa unataka nishangilie nisichokipenda!!!!!!!!!!!? we vip bana!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wewe huipendi Brazil?!Pengine ile mijezi ya njano ilituchefua na kutufanya tuipende timu yenye Jezi nyekundu.
Huipendi nchi yako?!
Taifa stars!Kwani ni timu ya taifa iliyocheza huko?
Taifa stars!
Yaani nimehuzunika sana katika timu 24 kuwa wa kwanza kuaga mashindano, Hii ni aibu na Karia ni lazima ajiuzulu!Mleta uzi amepagawa.Maombi kwake tafadhali!
Msuva alisema wanamuwakilisha Magu na Serikali sio Nchi sasa si tufanyeje?Huipendi nchi yako?!
Baadhi ya watanzania tumefurahi kwa timu kufungwa baada ya kusikia timu imeenda kutekeleza ilani ya chama na mnafahamu fika caf na FIFA hawataki politics kwenye soka, nikuulize swali mtoa mada hivi mtaacha lini kila kitu kuweka sasa?Watanzania ni watu wa ajabu sana na hasa wale wanaojiita " makamanda " yaani timu yetu ya taifa inafungwa wao wanashangilia.
Mbaya zaidi wanashangilia wapinzani wetu katika mechi muhimu ambayo ilikuwa ni lazima tushinde.
Halafu na nyie akina Haji Manara huko Misri mnajigharamia wenyewe au ndio mnabunya zile milioni 370 alizotuchangishia mama Samia kwa ajili ya wachezaji wa Taifa stars?!
Isijekuwa nyie ndio mmekuwa mnasababisha wachezaji wetu wapate lishe duni kwa kuhemea posho zao maana tulisikia wanalipwa dola 75 badala ya 300.
Na wewe Sugu ( waziri mbadala wa michezo) mbona uko kimya sana hata Cairo hujaonekana?!!
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Siasa ni maisha na michezo ni sehemu ya maisha na kwa maana hiyo michezo ni siasa!Baadhi ya watanzania tumefurahi kwa timu kufungwa baada ya kusikia timu imeenda kutekeleza ilani ya chama na mnafahamu fika caf na FIFA hawaraki politics kwenye soma, nikuulize swali mtoa mada hivi mtaacha lini kila kitu kuweka sasa?
Siwapendi Brazil, Pia siku zote Timu inayovaa jezi za njano huwa natamani ifungwe. Jana nilikuwa namuangalia Kahata tu.Wewe huipendi Brazil?!
Hahahaa...... yaani wametushinda hata Burundi na Zimbabwe?.....lazima kuna shida mahali.We "mbatizaji" tuma video unalia ndiyo ntaamini uko na machungu pomoni.