Ndio mkawaeleze fifa , halafu kumbuka siasa ni vyama vingi itakuwaje kama wachezaji ni ACT wazalendoSiasa ni maisha na michezo ni sehemu ya maisha na kwa maana hiyo michezo ni siasa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkawaeleze fifa , halafu kumbuka siasa ni vyama vingi itakuwaje kama wachezaji ni ACT wazalendoSiasa ni maisha na michezo ni sehemu ya maisha na kwa maana hiyo michezo ni siasa!
Nchi tunaipende,ila timu ilikuwa ya chama CCM ndo maana hatukupenda kuishangilia,tunasubiri timu ya taifa mkuu.Makonda atakufafanulia zaidi.Huipendi nchi yako?!
Hapana,ni timu ya Tanzania Mpya Stars! Timu ya CCM,ingekuwa timu ya Taifa Makonda asingeongelea habari za itikadi mkuu.Taifa stars!
Na Makonda pia maana alipeleka nuksi MisriYaani nimehuzunika sana katika timu 24 kuwa wa kwanza kuaga mashindano, Hii ni aibu na Karia ni lazima ajiuzulu!
Maendele hayana vyama ila timu ya Taifa ina chama, only in Tanzania.Watanzania ni watu wa ajabu sana na hasa wale wanaojiita " makamanda " yaani timu yetu ya taifa inafungwa wao wanashangilia.
Mbaya zaidi wanashangilia wapinzani wetu katika mechi muhimu ambayo ilikuwa ni lazima tushinde.
Halafu na nyie akina Haji Manara huko Misri mnajigharamia wenyewe au ndio mnabunya zile milioni 370 alizotuchangishia mama Samia kwa ajili ya wachezaji wa Taifa stars?!
Isijekuwa nyie ndio mmekuwa mnasababisha wachezaji wetu wapate lishe duni kwa kuhemea posho zao maana tulisikia wanalipwa dola 75 badala ya 300.
Na wewe Sugu ( waziri mbadala wa michezo) mbona uko kimya sana hata Cairo hujaonekana?!!
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Hakika mkuu!Ni Wapuuzi na hawajielewi Taifa Stars ni Vijana wetu na timu ya Taifa letu la Tanzania ikifungwa tunadhalilika, tunahuzunika na tunakejeliwa sote pia Ikishindwa tufarahi na kupongezwa kwa pamoja sote Taifa. Tuwapevmoyo na faraja Vijaba wetu badala ya kuwakejeli!
Kila mtu anao uhuru as far as havunji sheria! Utamlazimisha mtu aweke imani pasipoaminika???
Si kweli!You can not teach me how to love the devil!You have had infidel the "Stars"!CCMs are pure fula pigmies!Hakika mkuu!
Kwani ni timu ya taifa iliyocheza huko?
naona masisiemu baada ya kufungwa kule misri mnataka kuhamishia lawama kwa upinzani badala ya harambee stars ya kenya.Watanzania ni watu wa ajabu sana na hasa wale wanaojiita " makamanda " yaani timu yetu ya taifa inafungwa wao wanashangilia.
Mbaya zaidi wanashangilia wapinzani wetu katika mechi muhimu ambayo ilikuwa ni lazima tushinde.
Halafu na nyie akina Haji Manara huko Misri mnajigharamia wenyewe au ndio mnabunya zile milioni 370 alizotuchangishia mama Samia kwa ajili ya wachezaji wa Taifa stars?!
Isijekuwa nyie ndio mmekuwa mnasababisha wachezaji wetu wapate lishe duni kwa kuhemea posho zao maana tulisikia wanalipwa dola 75 badala ya 300.
Na wewe Sugu ( waziri mbadala wa michezo) mbona uko kimya sana hata Cairo hujaonekana?!!
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Noooooh! Siasa ni kilimo.Siasa ni maisha na michezo ni sehemu ya maisha na kwa maana hiyo michezo ni siasa!
Hahahaa......... na kilimo ni maisha!Noooooh! Siasa ni kilimo.
Uliwaona wapi wanashangilia?Watanzania ni watu wa ajabu sana na hasa wale wanaojiita " makamanda " yaani timu yetu ya taifa inafungwa wao wanashangilia.