Kwanini Taifa stars kufungwa na Kenya baadhi ya watanzania wameshangilia kuliko tulipofungwa na Senegal?

Kama jana timu ingeshinda kifutu wa dar angevimbisha ule mkia wake sijui tungejihifadhi wapi sijui kwanini hata alipeleka najisi kwenye ardhi takatifu ya Mafarao
 
Ni Wapuuzi na hawajielewi Taifa Stars ni Vijana wetu na timu ya Taifa letu la Tanzania ikifungwa tunadhalilika, tunahuzunika na tunakejeliwa sote pia Ikishindwa tufarahi na kupongezwa kwa pamoja sote Taifa. Tuwapevmoyo na faraja Vijaba wetu badala ya kuwakejeli!
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana na hasa wale wanaojiita " makamanda " yaani timu yetu ya taifa inafungwa wao wanashangilia.

Mbaya zaidi wanashangilia wapinzani wetu katika mechi muhimu ambayo ilikuwa ni lazima tushinde.

Halafu na nyie akina Haji Manara huko Misri mnajigharamia wenyewe au ndio mnabunya zile milioni 370 alizotuchangishia mama Samia kwa ajili ya wachezaji wa Taifa stars?!
Isijekuwa nyie ndio mmekuwa mnasababisha wachezaji wetu wapate lishe duni kwa kuhemea posho zao maana tulisikia wanalipwa dola 75 badala ya 300.

Na wewe Sugu ( waziri mbadala wa michezo) mbona uko kimya sana hata Cairo hujaonekana?!!

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Maendele hayana vyama ila timu ya Taifa ina chama, only in Tanzania.
 
Ni Wapuuzi na hawajielewi Taifa Stars ni Vijana wetu na timu ya Taifa letu la Tanzania ikifungwa tunadhalilika, tunahuzunika na tunakejeliwa sote pia Ikishindwa tufarahi na kupongezwa kwa pamoja sote Taifa. Tuwapevmoyo na faraja Vijaba wetu badala ya kuwakejeli!
Hakika mkuu!
 
Kila mtu anao uhuru as far as havunji sheria! Utamlazimisha mtu aweke imani pasipoaminika???

Ni wajibu kuweka Matumaini kwa Taifa lako kwa hali yoyote ile vinginevyo ni sawa na Watu wanakuja Nyumbani kwenu wanawapiga Wazazi na Ndugu zako lakini bado nawe unaungana na Watesi kuwapiga kwa Vitendo au Maneno huo ni Upumbavu. Badilika!
 
Yaani wimbo wa Taifa la Tz ulivyo mtamu kuimbwa aisee nilipenda tuendelee kubaki Misri upigwe kila mechi ya Stars.
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana na hasa wale wanaojiita " makamanda " yaani timu yetu ya taifa inafungwa wao wanashangilia.

Mbaya zaidi wanashangilia wapinzani wetu katika mechi muhimu ambayo ilikuwa ni lazima tushinde.

Halafu na nyie akina Haji Manara huko Misri mnajigharamia wenyewe au ndio mnabunya zile milioni 370 alizotuchangishia mama Samia kwa ajili ya wachezaji wa Taifa stars?!
Isijekuwa nyie ndio mmekuwa mnasababisha wachezaji wetu wapate lishe duni kwa kuhemea posho zao maana tulisikia wanalipwa dola 75 badala ya 300.

Na wewe Sugu ( waziri mbadala wa michezo) mbona uko kimya sana hata Cairo hujaonekana?!!

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
naona masisiemu baada ya kufungwa kule misri mnataka kuhamishia lawama kwa upinzani badala ya harambee stars ya kenya.
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana na hasa wale wanaojiita " makamanda " yaani timu yetu ya taifa inafungwa wao wanashangilia.

Mbaya zaidi wanashangilia wapinzani wetu katika mechi muhimu ambayo ilikuwa ni lazima tushinde.

Halafu na nyie akina Haji Manara huko Misri mnajigharamia wenyewe au ndio mnabunya zile milioni 370 alizotuchangishia mama Samia kwa ajili ya wachezaji wa Taifa stars?!
Isijekuwa nyie ndio mmekuwa mnasababisha wachezaji wetu wapate lishe duni kwa kuhemea posho zao maana tulisikia wanalipwa dola 75 badala ya 300.

Na wewe Sugu ( waziri mbadala wa michezo) mbona uko kimya sana hata Cairo hujaonekana?!!

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Uliwaona wapi wanashangilia?
 
Back
Top Bottom