Kwanini Taifa Stars wasiende kuungana na Malinzi

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,113
Reaction score
4,658
Hawa Taifa Stars wanatuchafulia sana wanatumia pesa za bure za Wananchi kwa iyo ni bora tuwafungulie kesi ya matumizi mabaya ya pesa zetu ivyo tuwauunganishe tu na boss wao maana huu ni uzembe kazini
Nawakilisha
 
Tufute timu ya mpira kwa miaka kama mitano ili tujipange maana sasa ni kichwa cha mwendawazimu kila mtu anakinyoa
 
Mleta mada nakubaliana na wewe...hawa starz ni wa kusweka rumande na bosi wao...wanyee debe haiwezekani kila michuano wanatudhalilisha...
 
Watanzania mpira sio fani yetu..tutawalaumu bure...
 
Hawa Taifa Stars wanatuchafulia sana wanatumia pesa za bure za Wananchi kwa iyo ni bora tuwafungulie kesi ya matumizi mabaya ya pesa zetu ivyo tuwauunganishe tu na boss wao maana huu ni uzembe kazini
Nawakilisha
Uende nao kwa malinzi.kama ni kuzuri.
 
Kwa nini waende jela? Kwa nini isiwe na timu nyingine za COSAFA zilizoishia kwenye makundi? Kwa nini isiwe zilizoishia kwenye Robo Fainali? Kwa nini isiwe Stars iliyopigwa 7-0 na Algeria? Kwa nini isiwe Yanga, Azam, Simba na timu nyingine zinazofanya viabya kila kukicha kwenye mashindano ya kimataifa?

Kwa nini zisiwe timu za ndondi, riadha, kikapu, magongo, n.k?
 
sio poa kuikandia timu yetu ya taifa kila hata inapoonyesha jitihada kadhaa
jamani stars inajitahidi sana hebu tuiunge mkono kwa hii hatua ndogo waliyopiga maana wanaenda kuwa washindi wa 3 niaminini ni kazi kubwa vijana wamefanya
 
Wako vizur ila ushaur ni bora kuto tumia gharama kubwa kwao au wakienda katika gemu zao tutumie carrot and stick approach yan watuahid wakishinda wapewe zawad gan na wakifungwa tuwafanye nini
 
Timu imejaa wapiga dili wachezaji kweli wakuhesabika tu
 
Tufute timu ya mpira kwa miaka kama mitano ili tujipange maana sasa ni kichwa cha mwendawazimu kila mtu anakinyoa
Juzi ilipoifunga south sifa kedekede imedukuliwa na chipolopolo kashfa
 
Au kwa nn sio wazee wa 4G
 
Taifa Stars wamejitahidi sana. Ndio maana FIFA( Shirika la soka la dunia) wametupandisha nafasi 25 (toka 139 hadi nafasi ya 114) katika ranking yao waliotoa jana 6/7/2017. Maana tumewafunga South Africa ambayo iko nafasi ya 64 duniani na Malawi nafasi ya nafasi 111. Ile timu ya Zambia (92) iliyotufunga ina wachezaji wengi wa timu ya Zambia (under 20) ambao ndio mabingwa wa Africa na walifika nusu fainali ya kombe la dunia (FIFA Under 20) yaliyofanyika Korea Kusini mwezi uliopita. Angalia hapa The FIFA/Coca-Cola World Ranking - Ranking Table - FIFA.com
 
Juzi ilipoifunga south sifa kedekede imedukuliwa na chipolopolo kashfa

Kama kuna mtu aliisifia baada ya kuifunga SA basi haijui taifa stars vizuri huyo, ile timu ni kichwa cha mwendawazimu. Inafuja tu pesa za walipa kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…