Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 741
kwanini pccb wasiachiwe kuendesha kesi zao, hivi wanaoelewa hili mnasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anachosema ni cha kweli kama atakuwa anaongelea kesi za pale kisutu na mahakama za juu zaidi, ila kama ni mikoani wanaendesha wao wenyewe pccb. kama kuna wakili mwenzangu wa kujitegemea humu tunajua kesi kubwa kama zile za epa ambazo walitakiwa kuendesha wao tunaona wanaendesha mawakili wa serikali, inasemekana pccb walimwomba dpp msaada wasaidiwe kuendesha ndio maana huyo jamaa anasema hawaendeshi kesi nafikiri. kesi kubwa waliyoshinda ni ile ya kajala na hiyo ya juzi ya jamaa wa tbs, nyingine zote kama za kina katiti, maranda n.k hawaendeshi pccb.mbona wanaendesha kesi wenyewe wewe
hahaha, hili swali, huanza suspesion kwanza halafu proof inakuja baadaye kwenye kuendesha kesi. sijui kama ulikuwa unamaanisha hivyo au nimeenda chaka.How can somebody suspect something without approval?
kuna report ilitoka 2013 nakumbuka pccb ilikuwa namba 3 kwa rushwa ikitanguliwa na mahakama na polisi. wanakurupuka sana na wako kisiasa zaidii kuliko uhalisia ndio maana hata kikwete aliwapiga dongo juzi kuwa "MNAKURUPUKA: lile lilikuwa dongo anawapiga pccb, wanakurupuka sana wakati hakuna ushahidi matokeo yake kesi hawashindi na walikuwa wanashitakiwa wanalipwa fidia na serikali.Wapewe meno washtaki...
Tuone ikiwa huo mtizamo hapo juu utabadilika