Kwanini takwimu za tozo haziwekwi wazi?

Kwanini takwimu za tozo haziwekwi wazi?

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
70,785
Reaction score
186,690
Huwa najiuliza toka ile kauli ya kuwa serikali imekusanya takriban 48 billion ambayo ilikuwa ni kiwango cha miezi kadhaa tu baada ya tozo kuanza. Je, makusanyo hayajaongezeka na kama yameongezeka yamefikia kiwango gani? Kwanini hakuna uwazi juu ya hayo makusanyo ya tozo ikiwa lengo liko wazi kuwa zitajengea madarasa.

Katika swala ambalo linanipa ukakasi ni kwamba total ya miamala inayofanyika kwa baadhi ya mitandao hukifikia wastani wa 10T kila mwezi. Tuna mitandao mitano kwa sasa ila ilio active zaidi ni minne.

Je, kupitia hii miamala ni kweli kuwa transactions za mitandao yote minne zinaweza kuzalisha 50B tu kwa mwezi mmoja? Yani out of 40T average transactions za mwezi upate 50B pekee? Ikumbukwe kuwa jamaa wanachukua VAT kisha wanachukua na Tozo ambazo ni 70% ya kile ambacho wenye mtandao wanatuchaji wao kwao kinaingia kama kilivyo maana hakitozwi VAT.

Is this thing making any sense to you? Kwanini makusanyo ya Tozo yasiwekwe wazi kama ambavyo zimeitwa za uzalendo maana zinatuhusu wananchi by 100%?

Assume wachukue buku tu kwenye kila muamala je kwa 10T transactions serikali inatengeneza bei gani?
2701E2CA-874D-45DF-9F48-6481A32D09C0.jpeg
E8DEB986-C587-4FBD-A66D-527F38C03BB9.jpeg

Sasa kama mtandao mmoja unazalisha almost 90% ya budget kwa mwaka kwa miamala tu kweli tozo ambazo hazina makato kwa mitandao yote ndio ziwe 48B kwa miezi mitatu?😅😅😅
 
Huwa najiuliza toka ile kauli ya kuwa serikali imekusanya takriban 48 billion ambayo ilikuwa ni kiwango cha miezi kadhaa tu baada ya tozo kuanza. Je, makusanyo hayajaongezeka na kama yameongezeka yamefikia kiwango gani? Kwanini hakuna uwazi juu ya hayo makusanyo ya tozo ikiwa lengo liko wazi kuwa zitajengea madarasa.

Katika swala ambalo linanipa ukakasi ni kwamba total ya miamala inayofanyika kwa baadhi ya mitandao hukifikia wastani wa 10T kila mwezi. Tuna mitandao mitano kwa sasa ila ilio active zaidi ni minne.

Je, kupitia hii miamala ni kweli kuwa transactions za mitandao yote minne zinaweza kuzalisha 50B tu kwa mwezi mmoja? Yani out of 40T average transactions za mwezi upate 50B pekee? Ikumbukwe kuwa jamaa wanachukua VAT kisha wanachukua na Tozo ambazo ni 70% ya kile ambacho wenye mtandao wanatuchaji wao kwao kinaingia kama kilivyo maana hakitozwi VAT.

Is this thing making any sense to you? Kwanini makusanyo ya Tozo yasiwekwe wazi kama ambavyo zimeitwa za uzalendo maana zinatuhusu wananchi by 100%?

Assume wachukue buku tu kwenye kila muamala je kwa 10T transactions serikali inatengeneza bei gani?
Hata zikiwekwa WAZI tutapinga kwamba siyo za KWELI.
 
Madelu na Hangaya wanakusanya hela yao ya kustaafia maana wanajua wanakaribia kustaafishwa.
 
We are financing their lifestyle
 
Nchi ngumu hii.
 
Wakati huo spika amehoji kama tulikua na tozo zenye mlengo wa kujenga madarasa na zahanati kwa nini tukakope tena fedha zingine.

Watu wamemjia juu pasipo kumjibu maulizo yake. Ukweli uwazi kwenye tozo ni haupo
Hakuwezi kuwa na uwazi humo ila kimsingi hela itakayokuwa inavuja huko ni nyingi mno😅
 
Kijana acha vurugu!
 
Si tozo tu kumbe hata matrilioni ya pesa za dawa, dawa mahospilalini hamna.

Heri dawa mahospilalini ijulikane hamna na wagonjwa wananunua tu kama ilivyo sasa.

Bila katiba mpya itakayo zima mianya kama hii kwa uwazi na ushikiriswaji wake basi bado sana.
 
Huwa najiuliza toka ile kauli ya kuwa serikali imekusanya takriban 48 billion ambayo ilikuwa ni kiwango cha miezi kadhaa tu baada ya tozo kuanza. Je, makusanyo hayajaongezeka na kama yameongezeka yamefikia kiwango gani? Kwanini hakuna uwazi juu ya hayo makusanyo ya tozo ikiwa lengo liko wazi kuwa zitajengea madarasa.

Katika swala ambalo linanipa ukakasi ni kwamba total ya miamala inayofanyika kwa baadhi ya mitandao hukifikia wastani wa 10T kila mwezi. Tuna mitandao mitano kwa sasa ila ilio active zaidi ni minne.

Je, kupitia hii miamala ni kweli kuwa transactions za mitandao yote minne zinaweza kuzalisha 50B tu kwa mwezi mmoja? Yani out of 40T average transactions za mwezi upate 50B pekee? Ikumbukwe kuwa jamaa wanachukua VAT kisha wanachukua na Tozo ambazo ni 70% ya kile ambacho wenye mtandao wanatuchaji wao kwao kinaingia kama kilivyo maana hakitozwi VAT.

Is this thing making any sense to you? Kwanini makusanyo ya Tozo yasiwekwe wazi kama ambavyo zimeitwa za uzalendo maana zinatuhusu wananchi by 100%?

Assume wachukue buku tu kwenye kila muamala je kwa 10T transactions serikali inatengeneza bei gani?

Kwa nini Ndugai umefungua mdomo? Utajadiliwa mwezi wote huu Na ujao! Kweli una Mdomo Mbaya!
 
Wakati huo spika amehoji kama tulikua na tozo zenye mlengo wa kujenga madarasa na zahanati kwa nini tukakope tena fedha zingine.

Watu wamemjia juu pasipo kumjibu maulizo yake. Ukweli uwazi kwenye tozo ni haupo
Watanzania sisi ndiyo watu pekee ambao uwa hatujali hoja bali ni nani kauliza hilo jambo.
Sisi ndiyo watu pekee ambao jambo akifanya mtu huyu tutamsifu na akifanya yule jambo hilo hilo tutamsema.
Hoja hazina mahali pake bali hisia tu.
 
Wakati huo spika amehoji kama tulikua na tozo zenye mlengo wa kujenga madarasa na zahanati kwa nini tukakope tena fedha zingine.

Watu wamemjia juu pasipo kumjibu maulizo yake. Ukweli uwazi kwenye tozo ni haupo
Kwan kabla serikali haijachukua mkopo ni chombo kipi kinacho tumika kuhizinisha huo mkopo kuwa unafaa au haufai?
 
Hujachokoza umeleta fujo tu!. Nina swali hivi huwa mnawezaje kudisscus pesa ambazo hamzioni..?
Huo moyo wa hivyo huwa mnatoa wapi!.😬
Hahahahahah we hela za budget ushawahi kuziona? Ila za miamala zinaonekana kabisa tena wanakuandikia tozo ya serikali jumla (tsh.2700) bado benki wameweka buku 4800 huko ukijumlisha na ya benki wenyewe ni buku 6😅😅😅
 
Kwanini tuone zinavyokatwa tu ila hatuoni zinapoenda!.
Hizo za bajeti masikiaga tu ndo maana sipendi kufatilia hayo mambo!
 
Back
Top Bottom