Kwanini takwimu za tozo haziwekwi wazi?

Kwanini takwimu za tozo haziwekwi wazi?

Inauma Sana kuona pesa yangu inasomesha litoto la mtu libonge feza alafu Mimi mdogo wangu buza secondary school...aisee tumepigwa na mnyiramba mwenzangu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji4]!
 
Nimechokoza mada naona Jukwaa limepoa sana[emoji28]
Haujachokoza mkuu, hoja yako ina mashiko sana.

Sema hivi sasa, waTz tumegawanyika kiushabiki zaidi kuliko kudili na hoja za msingi za kitaifa zilizopo.

Kwa mfano: jana Samia kasema tunakopa kwa manufaa, tumekopa pesa za Uviko kujengea madarasa.

Ndugai kaibuka na hoja ya kulaani mikopo na kushadadia tozo.

Kwa hali hii kuna mtetezi wa maslahi ya wanyonge hapo kweli, maana kama wamekopa za Uviko kwanini waendelee kukamua tozo nk nk?

Kingine ni kwanini serikali moja iwe na ndimi mbili?

Sasa, wenye mahaba na Samia wamemsifia sana na wenye chuki na Ndugai
wamemponda kinyama, wakati wote hawa wawili wanaishi "chumba" kimoja, kwanini tusiwaone kama lao ni moja, ila wanatuona waTz ni mabwege na hatuna la kuwafanya!
 
Watanzania sisi ndiyo watu pekee ambao uwa hatujali hoja bali ni nani kauliza hilo jambo.
Sisi ndiyo watu pekee ambao jambo akifanya mtu huyu tutamsifu na akifanya yule jambo hilo hilo tutamsema.
Hoja hazina mahali pake bali hisia tu.

Ni kweli
 
Huwa najiuliza toka ile kauli ya kuwa serikali imekusanya takriban 48 billion ambayo ilikuwa ni kiwango cha miezi kadhaa tu baada ya tozo kuanza. Je, makusanyo hayajaongezeka na kama yameongezeka yamefikia kiwango gani? Kwanini hakuna uwazi juu ya hayo makusanyo ya tozo ikiwa lengo liko wazi kuwa zitajengea madarasa.

Katika swala ambalo linanipa ukakasi ni kwamba total ya miamala inayofanyika kwa baadhi ya mitandao hukifikia wastani wa 10T kila mwezi. Tuna mitandao mitano kwa sasa ila ilio active zaidi ni minne.

Je, kupitia hii miamala ni kweli kuwa transactions za mitandao yote minne zinaweza kuzalisha 50B tu kwa mwezi mmoja? Yani out of 40T average transactions za mwezi upate 50B pekee? Ikumbukwe kuwa jamaa wanachukua VAT kisha wanachukua na Tozo ambazo ni 70% ya kile ambacho wenye mtandao wanatuchaji wao kwao kinaingia kama kilivyo maana hakitozwi VAT.

Is this thing making any sense to you? Kwanini makusanyo ya Tozo yasiwekwe wazi kama ambavyo zimeitwa za uzalendo maana zinatuhusu wananchi by 100%?

Assume wachukue buku tu kwenye kila muamala je kwa 10T transactions serikali inatengeneza bei gani?View attachment 2061575View attachment 2061576
Sasa kama mtandao mmoja unazalisha almost 90% ya budget kwa mwaka kwa miamala tu kweli tozo ambazo hazina makato kwa mitandao yote ndio ziwe 48B kwa miezi mitatu?[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hii inauma sana mkuu niliwahi kuandika kuhusu hii issue
Lakini tuna wasomi wana harakati kwanini hawahoji mambo kama haya
Hizi pesa huwa zinaenda wapi

Hatupingi mikopo lakini je inatumika kama inavyotakiwa au watu wanagawana na kurudi kuzificha huko walipozitoa

Waliokufa wamepata faida gani na pesa walizoiba zaidi ya kutia nchi hasara tu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Acheni nikae zangu kimya Kama hayanihusu maana hivi vitu vinanipaga hasira naweza kujikuta nakufuru kuzaliwa bongo.

Sent from my TECNO CE9 using JamiiForums mobile app
 
Serikali Ina wajibu wa kutangaza mapato haya Kila Mwezi Ili mitandao ituhakikishie maakusanyo na Tujue yametumikaje.

Isijekuwa mradi wa fedha za Kampeni2025
 
Wakati huo spika amehoji kama tulikua na tozo zenye mlengo wa kujenga madarasa na zahanati kwa nini tukakope tena fedha zingine.

Watu wamemjia juu pasipo kumjibu maulizo yake. Ukweli uwazi kwenye tozo ni haupo
Tozo ni mali ya wenyewe waimba mapambio na kejeli.
 
Zinatumika ndivyo sivyo, Zikiwekwa wazi watu wenye akili watafanya analysis ya mapato na matumizi. Ila kiufupi hizi ni pesa za kampeni 2025 (Usiulize sana).
 
Huwa najiuliza toka ile kauli ya kuwa serikali imekusanya takriban 48 billion ambayo ilikuwa ni kiwango cha miezi kadhaa tu baada ya tozo kuanza. Je, makusanyo hayajaongezeka na kama yameongezeka yamefikia kiwango gani? Kwanini hakuna uwazi juu ya hayo makusanyo ya tozo ikiwa lengo liko wazi kuwa zitajengea madarasa.

Katika swala ambalo linanipa ukakasi ni kwamba total ya miamala inayofanyika kwa baadhi ya mitandao hukifikia wastani wa 10T kila mwezi. Tuna mitandao mitano kwa sasa ila ilio active zaidi ni minne.

Je, kupitia hii miamala ni kweli kuwa transactions za mitandao yote minne zinaweza kuzalisha 50B tu kwa mwezi mmoja? Yani out of 40T average transactions za mwezi upate 50B pekee? Ikumbukwe kuwa jamaa wanachukua VAT kisha wanachukua na Tozo ambazo ni 70% ya kile ambacho wenye mtandao wanatuchaji wao kwao kinaingia kama kilivyo maana hakitozwi VAT.

Is this thing making any sense to you? Kwanini makusanyo ya Tozo yasiwekwe wazi kama ambavyo zimeitwa za uzalendo maana zinatuhusu wananchi by 100%?

Assume wachukue buku tu kwenye kila muamala je kwa 10T transactions serikali inatengeneza bei gani?View attachment 2061575View attachment 2061576
Sasa kama mtandao mmoja unazalisha almost 90% ya budget kwa mwaka kwa miamala tu kweli tozo ambazo hazina makato kwa mitandao yote ndio ziwe 48B kwa miezi mitatu?😅😅😅
Unajua Landcruiser 300?

images (65).jpeg

2766986_FB_IMG_1620477535787.jpg

images (79).jpeg
 
Back
Top Bottom