Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji4]!Inauma Sana kuona pesa yangu inasomesha litoto la mtu libonge feza alafu Mimi mdogo wangu buza secondary school...aisee tumepigwa na mnyiramba mwenzangu
Kuhusu madarasa wanajenga na hela za mkopo za Uviko, za tozo hawazisemi tena kazi zinayofanya.Walianza kwa mbwembwe...za kusema watajemga zahanati sijui milioni moja na madarasa sijui milioni kumi..sasa hv wapo kimya
Haujachokoza mkuu, hoja yako ina mashiko sana.Nimechokoza mada naona Jukwaa limepoa sana[emoji28]
Kwan kabla serikali haijachukua mkopo ni chombo kipi kinacho tumika kuhizinisha huo mkopo kuwa unafaa au haufai?
Watanzania sisi ndiyo watu pekee ambao uwa hatujali hoja bali ni nani kauliza hilo jambo.
Sisi ndiyo watu pekee ambao jambo akifanya mtu huyu tutamsifu na akifanya yule jambo hilo hilo tutamsema.
Hoja hazina mahali pake bali hisia tu.
Huyo waziri wa fedha hio mikopo anaipisha bila kupitia bungeni?Wizara ya fedha chini waziri wa fedha
Huwa najiuliza toka ile kauli ya kuwa serikali imekusanya takriban 48 billion ambayo ilikuwa ni kiwango cha miezi kadhaa tu baada ya tozo kuanza. Je, makusanyo hayajaongezeka na kama yameongezeka yamefikia kiwango gani? Kwanini hakuna uwazi juu ya hayo makusanyo ya tozo ikiwa lengo liko wazi kuwa zitajengea madarasa.
Katika swala ambalo linanipa ukakasi ni kwamba total ya miamala inayofanyika kwa baadhi ya mitandao hukifikia wastani wa 10T kila mwezi. Tuna mitandao mitano kwa sasa ila ilio active zaidi ni minne.
Je, kupitia hii miamala ni kweli kuwa transactions za mitandao yote minne zinaweza kuzalisha 50B tu kwa mwezi mmoja? Yani out of 40T average transactions za mwezi upate 50B pekee? Ikumbukwe kuwa jamaa wanachukua VAT kisha wanachukua na Tozo ambazo ni 70% ya kile ambacho wenye mtandao wanatuchaji wao kwao kinaingia kama kilivyo maana hakitozwi VAT.
Is this thing making any sense to you? Kwanini makusanyo ya Tozo yasiwekwe wazi kama ambavyo zimeitwa za uzalendo maana zinatuhusu wananchi by 100%?
Assume wachukue buku tu kwenye kila muamala je kwa 10T transactions serikali inatengeneza bei gani?View attachment 2061575View attachment 2061576
Sasa kama mtandao mmoja unazalisha almost 90% ya budget kwa mwaka kwa miamala tu kweli tozo ambazo hazina makato kwa mitandao yote ndio ziwe 48B kwa miezi mitatu?[emoji28][emoji28][emoji28]
Hii inauma sana mkuu niliwahi kuandika kuhusu hii issueMakusanyo ya tozo: Sasa serikali inafanyia nini hizi pesa?
Salaam wakuu, Nimejaribu kutathmini kuhusu hii tozo na wataalamu zaidi watusaidie. Nimeskia takwimu zikisema kuwa kwa siku inafanyika miamala milion kumi nchi nzima kwa mitandao yote ya simu sasa tuassume kwamba katika miamala yote hiyo miamala laki mbili tu ni ya shilingi laki moja yani...www.jamiiforums.com
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Huyo waziri wa fedha hio mikopo anaipisha bila kupitia bungeni?
Tozo ni mali ya wenyewe waimba mapambio na kejeli.Wakati huo spika amehoji kama tulikua na tozo zenye mlengo wa kujenga madarasa na zahanati kwa nini tukakope tena fedha zingine.
Watu wamemjia juu pasipo kumjibu maulizo yake. Ukweli uwazi kwenye tozo ni haupo
Unajua Landcruiser 300?Huwa najiuliza toka ile kauli ya kuwa serikali imekusanya takriban 48 billion ambayo ilikuwa ni kiwango cha miezi kadhaa tu baada ya tozo kuanza. Je, makusanyo hayajaongezeka na kama yameongezeka yamefikia kiwango gani? Kwanini hakuna uwazi juu ya hayo makusanyo ya tozo ikiwa lengo liko wazi kuwa zitajengea madarasa.
Katika swala ambalo linanipa ukakasi ni kwamba total ya miamala inayofanyika kwa baadhi ya mitandao hukifikia wastani wa 10T kila mwezi. Tuna mitandao mitano kwa sasa ila ilio active zaidi ni minne.
Je, kupitia hii miamala ni kweli kuwa transactions za mitandao yote minne zinaweza kuzalisha 50B tu kwa mwezi mmoja? Yani out of 40T average transactions za mwezi upate 50B pekee? Ikumbukwe kuwa jamaa wanachukua VAT kisha wanachukua na Tozo ambazo ni 70% ya kile ambacho wenye mtandao wanatuchaji wao kwao kinaingia kama kilivyo maana hakitozwi VAT.
Is this thing making any sense to you? Kwanini makusanyo ya Tozo yasiwekwe wazi kama ambavyo zimeitwa za uzalendo maana zinatuhusu wananchi by 100%?
Assume wachukue buku tu kwenye kila muamala je kwa 10T transactions serikali inatengeneza bei gani?View attachment 2061575View attachment 2061576
Sasa kama mtandao mmoja unazalisha almost 90% ya budget kwa mwaka kwa miamala tu kweli tozo ambazo hazina makato kwa mitandao yote ndio ziwe 48B kwa miezi mitatu?π π π
V8Kuhusu madarasa wanajenga na hela za mkopo za Uviko, za tozo hawazisemi tena kazi zinayofanya.