Kwanini Tanganyika ilikufa na Zanzibar ikabaki?

Ni kama ndoto, lakini si mbali! Bendera ya Tanganyika huru itapepea tena kwa uhuru!

Ni kama ndoto lakini si mbali, Rais wa Tanganyika atakalia tena kiti chake kwa mujibu wa katiba ya Tanganyika!

Kama kuna asiyetaka hilo aondoke tu Tanganyika kwa sababu hakuna namna ila hii ndoto kutimia!

Mungu ibariki Tanganyika!

Mungu mbariki Rais wa Tanganyika!

Mungu wabariki watu wa Watanganyika!

Mungu wabariki wote waitakiao mema nchi ya Tanganyika!!!
 
Ni kama ndoto, lakini si mbali! Bendera ya Tanganyika huru itapepea tena kwa uhuru!

Ni kama ndoto lakini si mbali, Rais wa Tanganyika atakalia tena kiti chake kwa mujibu wa katiba ya Tanganyika!

Kama kuna asiyetaka hilo aondoke tu Tanganyika kwa sababu hakuna namna ila hii ndoto kutimia!

Mungu ibariki Tanganyika!

Mungu mbariki Rais wa Tanganyika!

Mungu wabariki watu wa Watanganyika!

Mungu wabariki wote waitakioa mema nchi ya Tanganyika!!!
💪🏿💪🏿💪🏿❤❤❤
20241210_034814.jpg
 
Mama kuna mtu anataka kutekwa huku

eti anasema wewe ni mkoloni toka zenjibar

njoo umuue
 
Mama yako ni muuaji?

Pole sana mkuu! Mimi nilikuwa najua wamama ni watu wenye huruma. Ila usivunjike moyo, atabadilika tu.
 
Ona inavyovutia!!!

Katika bendera zote hakuna bendera nzuri kama bendera ya Tanganyika!!!
Hii ndio shida sasa,wakati wenzetu(nchi za Africa) zilipata uhuru kwa mapambano sisi eti tulipata kwa maridhiano! Hapa tulipigwa sana.uhuru wa bendera
 
Ni kawaida ya waume wengi kutangulia wakiwa Kwa NDOA kuliko ke.

Good enough Tanganyika hakufa kachukuliwa Msukule,

KaZi yetu ni kumuita tu...

Njoooooo ..... Tanganyika.....njooooo!!
 
nashindwa kuelewa chuki za watanganyika kwa zanzibar, Matatizo yote ya Muungano yametengenezwa na watanganyika wenyewe, badala kuwalaumu waliokueleteeni matatizo chuki zenu munaelekeza sehemu nyengine.
 
Na wazanzibar kamwe walikua hawataki muungano,walilazimishwa,na mpaka sasa pia hawautaki muungano,cha ajabu unakuta mtu eti anawalaumu wazanzibar.
 
Kuuwawa kwa Karume, kuuzulishwa Kwa Aboud Jumbe na Maalim Seif kote kunahusisha na attemp zao za kutaka kuuvunjamuungnao. Serikali ya SMT kwa kupitia vyombo vya dola TISS, TANPO, JWTZ wote wamekuwa wakitumika kuchafua uchaguzi zanzibar since 1995 wakihofia upinzani zanzibar ukishinda utavunja muungano. Bado unakuta mijitu humu inalalamikia wazanzibari
 
Huu muungano huu kiukweli pamoja na kusoma kwangu shule zote sijawai kupata majibu kutoka kwa wanasiasa au walimu wanaofundisha !

Nina maswali wataalamu naomba mnijibu

Tanganyika iko wapi?

Mbona Zanzibar ipo?

Kwanini Zanzibar utoa Rais wa Tanzania wakati Tanganyika haiwezi kutoa Rais Zanzibar?

Kwanini watumishi wa umma wa Zanzibar wanaweza kuja kufanya kazi bara bila shida lakini watumishi wa Tanganyika hawawezi kwenda kufanya kazi Zanzibar?

Kwanini watumishi wa vyama vya siasa wa Zanzibar wanaweza kuja bara kufanya kazi lakini wa Tanganyika hawawezi kwenda Zanzibar kufanya kazi?

Kwanini bendera ya Tanganyika haipo lakini Zanzibar wana bendera?

Kwanini Zanzibar Wana Rais lakini Tanganyika haina Rais ?

Kwanini Zanzibar Wana budget, bunge, na mifumo yote ya kiserikali lakini Tanganyika hakuna !

Watanganyika kuishi Zanzibar na kumilki kiwanja hakuna ila wanzanzibar wanamiliki kila wakitakacho kutoka bara?

Tanganyika iko wapi? Imepokwa kwa maslahi ya Nani?kwenye majibu ya hayo maswali anisaidie ??

Where is Tanganyika?

Pia soma
- Tanganyika imezikwa kwenye kaburi la Muungano, haiwezi kuvaa koti la Muungano
Wazanzibari wana akili kuliko watanganyika hiyo moja.

Watanganyika ni sawa na maiti kwa mujibu wa tathmini ya Rais wa zamani wa Kenya mzee Kenyatta.
 
Huu muungano huu kiukweli pamoja na kusoma kwangu shule zote sijawai kupata majibu kutoka kwa wanasiasa au walimu wanaofundisha !

Nina maswali wataalamu naomba mnijibu

Tanganyika iko wapi?

Mbona Zanzibar ipo?

Kwanini Zanzibar utoa Rais wa Tanzania wakati Tanganyika haiwezi kutoa Rais Zanzibar?

Kwanini watumishi wa umma wa Zanzibar wanaweza kuja kufanya kazi bara bila shida lakini watumishi wa Tanganyika hawawezi kwenda kufanya kazi Zanzibar?

Kwanini watumishi wa vyama vya siasa wa Zanzibar wanaweza kuja bara kufanya kazi lakini wa Tanganyika hawawezi kwenda Zanzibar kufanya kazi?

Kwanini bendera ya Tanganyika haipo lakini Zanzibar wana bendera?

Kwanini Zanzibar Wana Rais lakini Tanganyika haina Rais ?

Kwanini Zanzibar Wana budget, bunge, na mifumo yote ya kiserikali lakini Tanganyika hakuna !

Watanganyika kuishi Zanzibar na kumilki kiwanja hakuna ila wanzanzibar wanamiliki kila wakitakacho kutoka bara?

Tanganyika iko wapi? Imepokwa kwa maslahi ya Nani?kwenye majibu ya hayo maswali anisaidie ??

Where is Tanganyika?

Pia soma
- Tanganyika imezikwa kwenye kaburi la Muungano, haiwezi kuvaa koti la Muungano
Hayo yote unayosema si fadhila kwa Wazanzibari bali ulikua ni kama mtego ili waukubali Muungano. Kumbuka sera ya ccm ni serekali mbili kuelekea moja , hivyo lengo ni kuiua serekali ya zanzibar, it's just not yet successful
 
Back
Top Bottom