Kwanini tangazo la vijana kwenda kupata ujuzi VETA bure kabisa halijapigiwa kampeni?

Kwanini tangazo la vijana kwenda kupata ujuzi VETA bure kabisa halijapigiwa kampeni?

komasavaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2024
Posts
1,718
Reaction score
2,930
Hata humu sijaona wadau wa maendeleo kama LIKUD na wengine team kataa EMS.

Mada za kijingajinga ndo zinapewa airtime😀😀😀.Hili taifa limekumbwa na nini???!!!
Screenshot_20250210-122557_1.jpg
Screenshot_20250210-122616.jpg
 
HIVI HUU MTANDAO UNASHIDA GAN😄😄😄😄MODERATORS WANAKAZI YA KUEDIT MAWAZO YA WATU KWANINI WASITOE YAO😇

NADHANI JF HAIKUI KWASABABU YA UJIMA NA MAWAZO YA KUCENSOR THINGS TO SUIT MODERATORS FEELINGS.

KUNA WATU HAPO AKINA "INTELLIGENT FOOL" NA MWENZAKE WANACHANGANYIKIWA MAANA HAWAELEWIELEWI MADA BAADA YA KUEDITIWA NA MODS.
 
Hana uwezo wa kuanzisha uzi ndio maana ana mihemko na jinsi watu wanavyojibu uzi wake tofauti na avyotegemea.
UNAFANYA NINI KWENYE UZI WA MTU AMBAYE WEWE KIAZI MBATATA UMEMZIDI UWEZO.

📌📌📌HIVI HICHO KICHWA CHAKO KIZIMA KWELI???
 
Back
Top Bottom