Kwanini tangazo la vijana kwenda kupata ujuzi VETA bure kabisa halijapigiwa kampeni?

Jifunze kuandika joined 2024
NYIE MNAOJIITA GREAT FOOLS/ WAKONGWE WA JF WENGI WENU UELEWA MDOGO.

MIMI JF NILIANZA KUSOMA TANGU 2013 KIPINDI HICHO SINA ACCOUNT NASOMA TU KWENYE BROWSERS NIMEFUNGUA ACCOUNT 2019 MODERATOS WAKAIFUNGA SIJUI KWANINI😄😄😄

NIKARUDI BENCHI 2023 NIKAFUNGUA TENA ACCOUNT.ILA ALL IN ALL JF IMEJAA WAJINGA,JOBLESS,DROP OUTS,WATU WENYE ELIMU KIDOGO, WATU WA LOW STATUS NA MABUSH LAWYER.HAYA YANADHIHIRIKA KUTOKANA NA UCHANGIAJI WA MADA ZENYE AKILI NA MADA ZA KIPUUZI KAMA KUENDEKEZA NGONO ZEMBE NA MAMBO YA KISHIRIKINA.

📌📌📌MIMI NAIPENDA JF KULIKO MITANDAO MINGINE KWASABABU NAPENDA KUSOMA ZAIDI YA MAPICHAPICHA NA MAVIDEO.
 
Wewe ni mtu wa 3003 kati ya niliowahi kuwasikia wakiyasema maneno hayo humu, hivyo basi maneno hayo siyo mageni humu.

Turudi kwenye mada
 
NYIE MNAOJIITA GREAT FOOLS/ WAKONGWE WA JF WENGI WENU UELEWA MDOGO.

MIMI JF NILIANZA KUSOMA TANGU 2013 KIPINDI HICHO SINA ACCOUNT NASOMA TU KWENYE BROWSERS NIMEFUNGUA ACCOUNT 2019 MODERATOS WAKAIFUNGA SIJUI KWANINI😄😄😄

NIKARUDI BENCHI 2023 NIKAFUNGUA TENA ACCOUNT.ILA ALL IN ALL JF IMEJAA WAJINGA,JOBLESS,DROP OUTS,WATU WENYE ELIMU KIDOGO, WATU WA LOW STATUS NA MABUSH LAWYER.HAYA YANADHIHIRIKA KUTOKANA NA UCHANGIAJI WA MADA ZENYE AKILI NA MADA ZA KIPUUZI KAMA KUENDEKEZA NGONO ZEMBE NA MAMBO YA KISHIRIKINA.

📌📌📌MIMI NAIPENDA JF KULIKO MITANDAO MINGINE KWASABABU NAPENDA KUSOMA ZAIDI YA MAPICHAPICHA NA MAVIDEO.
Mie naweza kukutumia hela ya kula mda huu sema suu weka na number au njoo pm yangu Iko wazi nikupe chochote kitu mwanangu usije kufa njaa
 
Graduates wa mchongo kutoka vyuo vya kata.Ni ukweli uliowazi wengi wenu ni watupu huko vichwani.Vyuoni huko MUDA MWINGI MLITUMIA KUZURURA KWENYE MABAA NA MANIGHT CLUBS,MLITUMIA MUDA MWINGI KWENYE KUFUKUZIA WANAWAKE NA WANAWAKE KUJITONGOZOSHA HOVYO kwa mabazazi.

Sasa mmerudi mtaani mnajifanya mnalinda BRAND huo muda mnaozurura na kuangalia SIZONI na movie za kutafsiriwa.Nendeni VETA mKaPate elimu ya ufundi.Huo ubishoo na kuombaomba miten sio issue.

📌📌Vijana wa kiume nyie ndio mnamzigo mkubwa katika maisha yenu bila kujiongeza maisha yatazidi kuwa magumu magumu balaaa.

📌📌📌MWENYE AKILI NA AJIONGEZE.WALE WAKISHUA NA WALINDA BRAND ENDELEENI TU MUDA WAJA MTAIMBA HALELUYA!

📌As a man you have to know how to creat your value!!!
 
Uzi mzuri ila ndio hiyo wachangiaji Wana hasira kinoma
Ndio kawaida ya waliofeli maisha na kukata tamaa.Wanataka mada za kipumbavu ngono na uchawi plus kulaumu serikali kwa vitu ambavyo vipo ndani ya uwezo wao ndio zijadiliwe muda wote.

Ukianzisha mada za kuwatoa tongotongo au kuwashtua watu.Wanakuona mchawi🤗
 
Back
Top Bottom