Kwanini Tanroads msiweke yale matuta laini madogo au kubwa moja ambalo halina usumbufu?

Kwanini Tanroads msiweke yale matuta laini madogo au kubwa moja ambalo halina usumbufu?

Milazetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2025
Posts
300
Reaction score
270
Humu njiani tunavyosafiri baadhi ya mikoa tunaenjoy sana kutokana na utulivu wa safari unaosababishwa na barabara laini,lakini changamoto baadhi ya mikoa mmeweka matuta yale madogo madogo ma4 lakini yamenyanyuka mnatesa gari zetu na kuleta ukosefu wa usingizi murua kwa wakazi wanaoishi maeneo hayo.kuhatarisha nyumba zao kwa kutengeneza nyufa

Yani unakuta kibao cha ishara hakuna na hata kama kipo kutokana na urefu wa safari tunapuuzia vituta hivyo tunafukia mana ukiwa ndani ya chuma kelele huzikii sana.
.
Kwanini Tanroads msiweke yale matuta laini madogo au kubwa moja amblo halina usumbufu?Natowa wito mamlaka za kudhibiti kelele msifungiye tu baa zenye kelele wawajibisheni na hawa Tanroads kwa kuweka matuta ya ajabu.
 
Sometimes unajiuliza lengo ni kupunguza speed au ni kuharibu vyombo vya moto!
 
Kuna Moja lilikuwa pale lugalo aisee lile mwanzoni lilikuwa komesha...... Lilisababisha foleni ila baadaye likapungua. Ila pale watu wengi walikula hasara sana kutengeneza gari. Bodaboda watatu nilishuhudia wanapata ajali MBAYA pale.
 
Kuna yale matuta yako ukiwa unaelekea Shinyanga mjini kutoka Mwanza..
Mengine yalikuwa njiani kutoka NATA kwenda Shinyanga, yalikuwa yamejengewa simenti kali, marefu..aisee yamesababisha ajali nyingi na vifo. Baadae waliyapunguza ukubwa kiaina
 
Kuna Moja lilikuwa pale lugalo aisee lile mwanzoni lilikuwa komesha...... Lilisababisha foleni ila baadaye likapungua. Ila pale watu wengi walikula hasara sana kutengeneza gari. Bodaboda watatu nilishuhudia wanapata ajali MBAYA pale.
Ni noma,waweke yale matuta smooth.
 
Back
Top Bottom