..hivi hata kulaani mauaji ya askari wetu waliokwenda kulinda amani DRC tumeshindwa?
..M23 wameuwa askari wetu kwanini hakuna tamko kali toka kwa serikali dhidi yao?
..Na Rwanda wakiwa ni wafadhili wa M23 kwanini hatuwawekei vikwazo vya kiuchumi?
..EU walioko mbali na ambao hawajapoteza watu wao wameweka vikwazo.
..Je, EU wana uchungu na damu za watu wetu, na Wacongo, kuliko sisi majirani?