Bi Ushungi anawaza kufuturisha tu,hana uchungu na wapiganaji wetu...hivi hata kulaani mauaji ya askari wetu waliokwenda kulinda amani DRC tumeshindwa?
..M23 wameuwa askari wetu kwanini hakuna tamko kali toka kwa serikali dhidi yao?
..Na Rwanda wakiwa ni wafadhili wa M23 kwanini hatuwawekei vikwazo vya kiuchumi?
..EU walioko mbali na ambao hawajapoteza watu wao wameweka vikwazo.
..Je, EU wana uchungu na damu za watu wetu, na Wacongo, kuliko sisi majirani?
Hao washenzi M23 na Rwanda ukiwawekea vikwazo utafanyaje biashara? Mizigo yao inapitia bandari ya Dar. Sasa ukianzisha bifu nao unaua soko la bidhaa zetu pia huko Rwanda na Mashariki mwa Congo. Inaelekea Congo mashariki kumegwa na kuwa taifa jipya kama si kutekwa congo nzima na hao waasi watakuwa ni watawala na tukafanya nao biashara kama kawaida
Bi Ushungi anawaza kufuturisha tu,hana uchungu na wapiganaji wetu.
Vita uchumi vinapingana. Tanzania ya leo haina uwezo wa kupigana vita. Msiwacheke Congo, huko ndiyo tunakoeleweka...hivi hata kulaani mauaji ya askari wetu waliokwenda kulinda amani DRC tumeshindwa?
..M23 wameuwa askari wetu kwanini hakuna tamko kali toka kwa serikali dhidi yao?
..Na Rwanda wakiwa ni wafadhili wa M23 kwanini hatuwawekei vikwazo vya kiuchumi?
..EU walioko mbali na ambao hawajapoteza watu wao wameweka vikwazo.
..Je, EU wana uchungu na damu za watu wetu, na Wacongo, kuliko sisi majirani?
Vita uchumi vinapingana. Tanzania ya leo haina uwezo wa kupigana vita. Msiwacheke Congo, huko ndiyo tunakoeleweka.
vita ni gharama, lakini kama unafanyiwa umafia na adui huku unammudu ni bora umtie adabu atulie asirudie tena ukora wake. Hao M23 ilitakiwa wanyukwe mpaka Kigali wanakopata msaada..tukiwawekea vikwazo ndio watajua thamani yetu na watajiuliza mara mbilimbili kabla hawajauwa watu wetu.
..hakuna nchi ambayo askari wake wanauwawa halafu serikali na bunge hawalaani, na kuchukua hatua za kijeshi, kidiplomasia, au kiuchumi.
..hapa nimependekeza hatua za kiuchumi, na kidiplomasia.
vita ni gharama, lakini kama unafanyiwa umafia na adui huku unammudu ni bora umtie adabu atulie asirudie tena ukora wake. Hao M23 ilitakiwa wanyukwe mpaka Kigali wanakopata msaada
EU wameanza kumbana V. Oban wa Hungary kwasababu ya ujihusisha na Russia..sijapendekeza tupigane vita.
..tuwawekee vikwazo vya kiuchumi.
..tushinikize wafukuzwe katika jumuiya ya Afrika Mashariki.
..haiwezekani EU wanamuwekea Kagame vikwazo, halafu Tanzania tunamkaribisha kwa heshima ya gwaride la Jwtz.
..Kagame kapeleka jeshi na waasi DRC ambao wameuwa Jwtz, halafu anakuja Tanzania Jwtz wanampokea kwa gwaride la heshima!
..Tanzania tulipaswa kutumia ushawishi wetu wa Kidiplomasia ili isiwe jambo jepesi kuuwa askari wetu walioko ktk mission ya kulinda amani.
..sijui tumekuwa nchi ya aina gani.
Cc Nguruvi3
Malizaneni kwanza na Wasiojulikana...hivi hata kulaani mauaji ya askari wetu waliokwenda kulinda amani DRC tumeshindwa?
..M23 wameuwa askari wetu kwanini hakuna tamko kali toka kwa serikali dhidi yao?
..Na Rwanda wakiwa ni wafadhili wa M23 kwanini hatuwawekei vikwazo vya kiuchumi?
..EU walioko mbali na ambao hawajapoteza watu wao wameweka vikwazo.
..Je, EU wana uchungu na damu za watu wetu, na Wacongo, kuliko sisi majirani?
Bora ingekuwa hiyo biashara ya Tanzania na hiyo mizigo ya M23 au Rwanda inafaidisha 100% taifa,Wakubwa wana % zao nono ndiomana wamekuwa viziwi.Hao washenzi M23 na Rwanda ukiwawekea vikwazo utafanyaje biashara? Mizigo yao inapitia bandari ya Dar. Sasa ukianzisha bifu nao unaua soko la bidhaa zetu pia huko Rwanda na Mashariki mwa Congo. Inaelekea Congo mashariki kumegwa na kuwa taifa jipya kama si kutekwa congo nzima na hao waasi watakuwa ni watawala na tukafanya nao biashara kama kawaida