Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mfumo upi? Hao unaoita wamefanikiwa walipigia stages nyingi zaidi ambazo nasi pia tunazipitia.Huwa najiuliza sana hili swali lakini sipati picha majibu kabisa..
Mfumo wa utawala, sheria, elimu, miundo mbinu, jamii, n.k. ni mzuri sana ukilinganisha na nchi ya Tanzania.
Kwanini?
mjadala mzuri,Huwa najiuliza sana hili swali lakini sipati picha majibu kabisa..
Mfumo wa utawala, sheria, elimu, miundo mbinu, jamii, n.k. ni mzuri sana ukilinganisha na nchi ya Tanzania.
Kwanini?
Za kuambiwa unachanganya na zako na sio kuiga kila kitu kinachofanywa na nchi za ulaya/Marekani na kuamua kukileta kwako kabla ya kujiridhisha kama kitafaa kwa mazingira ya nchi yako.Huwa najiuliza sana hili swali lakini sipati picha majibu kabisa..
Mfumo wa utawala, sheria, elimu, miundo mbinu, jamii, n.k. ni mzuri sana ukilinganisha na nchi ya Tanzania.
Kwanini?
usifynge mjadala mapema hivi, naongezeaZa kuambiwa unachanganya na zako na sio kuiga kila kitu kinachofanywa na nchi za ulaya/Marekani na kuamua kukileta kwako kabla ya kujiridhisha kama kitafaa kwa mazingira ya nchi yako.
Ghafla tu tuanze kuiga mifumo yao wakati tayari wametuacha mbali sana kwenye upande wa Sayansi na Teknolojia, utamaduni wao ni tofauti kabisa na wakwetu.
Tuanze kuparamia mifumo ya nchi iliyojipatia uhuru wake miaka ya 1770's na kuilinganisha na mifumo yetu kwa nchi changa kama yetu iliyojipatia uhuru wake 1960's.
Hivi kweli huko shuleni ndiyo mnajifunza ujinga kiasi hicho au ndiyo akili za kijiweni baada ya kupata sigara bwege
Huku kipaumbele ni kuimba mali za umma na siyo maendeleoHuwa najiuliza sana hili swali lakini sipati picha majibu kabisa..
Mfumo wa utawala, sheria, elimu, miundo mbinu, jamii, n.k. ni mzuri sana ukilinganisha na nchi ya Tanzania.
Kwanini?
Wao huwa wanawaza kuiba pekeeMakada wa CCM ambao ndio washauri wakubwa wa Mama watakwambia hiyo ni mifumo ya "Kibeberu".
Mifumo inayoweza kufanya kazi kwao sio lazima iweze kufanya kazi kwetu.tunamazingira tofauti.Huwa najiuliza sana hili swali lakini sipati picha majibu kabisa..
Mfumo wa utawala, sheria, elimu, miundo mbinu, jamii, n.k. ni mzuri sana ukilinganisha na nchi ya Tanzania.
Kwanini?
Tuchague mifumo imara kutokana na mazingira yetu.Huwa najiuliza sana hili swali lakini sipati picha majibu kabisa..
Mfumo wa utawala, sheria, elimu, miundo mbinu, jamii, n.k. ni mzuri sana ukilinganisha na nchi ya Tanzania.
Kwanini?
Huwa najiuliza sana hili swali lakini sipati picha majibu kabisa..
Mfumo wa utawala, sheria, elimu, miundo mbinu, jamii, n.k. ni mzuri sana ukilinganisha na nchi ya Tanzania.
wanini?
Kuna shida gani kuwa na mahakama Huru?Za kuambiwa unachanganya na zako na sio kuiga kila kitu kinachofanywa na nchi za ulaya/Marekani na kuamua kukileta kwako kabla ya kujiridhisha kama kitafaa kwa mazingira ya nchi yako.