Kwanini Tanzania haikutenga bajeti ya kuandaa timu ya Taifa kama Mataifa mengine yaliyofanya?

Kwanini Tanzania haikutenga bajeti ya kuandaa timu ya Taifa kama Mataifa mengine yaliyofanya?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Tunayoyaona ni Matokeo ya maandalizi mabovu. Timu haina bajeti, badala yake inabidi tufanye harambee

Tena harambee yenyewe inafanyika tayari timu ipo Ivory Cost, sijajua hizo pesa zilikuwa za wachezaji au za kazi gani. Ni kwamba wizara haikufahamu kuhusu haya mashindano?
 
Nilimskia msigwa akiita bajeti yetu eti kasungura kadogo ndyo maana hawana hela ya taifa stars cha ajabu hako hako kasungura kadogo wanakatumia kununua magari ya gharama na kulipana posho nene.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom