Kwanini Tanzania haiwezekani kutokea machafuko wala mapinduzi ya kijeshi

Mapinduzi ya kijeshi hayafanywi na ma-Afisa wa jeshi, hufanywa na makachero tu wenye vyeo au tano za chini kabisa.
 
Absolute 100%βœ“ ipo siku yaja.βœοΈπŸ“Œ
 
Umechangia vizuri sana kwa weledi mkubwa sana ni dhahiri kabisa unaijua πŸ‡ΉπŸ‡Ώ vizuri.πŸ€βœοΈπŸ“Œ
 
You have not done your research properly, vurugu za Kenya zinasababishwa na ukwel kwamba wakenya wana maturity na wanaelewa haki zao za msingi than watanzania. Pia wakenya wengi wanaelimu kuliko watanzania .elimu ya Kenya inawajenga kwenye utambuzi while elimu ya TZ inajenga watu kuja kuomba ajira ndio maana watanzania wapo caged kwenye amani na utulivu
Kubwa zaid mahakama yao ni independent Inaweza kumuamrisha Rais

Mfano juzi imempiga burn asimamishe ujenzi wa kanisa

Watanzania ni kama broilers …. A k a kuku wa kisasa
Hamna wanachojua zaid ya amani na utulivu
 
Mleta mada,kama ulibahatika kuona live mapigano ya wakulima na wafugaji mpk wanavyochinjana na kuningizana utajuwa wtz ni watu
Makatili,mimi nlibahatika kuyashuhudia ya wakati ule yaliyokea kilosa

Ova
 
Mapinduzi yanahitajika hapa Tanzania ili kuleta heshima kwa viongozi.
 
No. Sababu ni elimu ndogo inawafanya kuridhika na corruption iliyopo kwenye mifumo ya jeshi
 
Mbona kwenye mambo mengine wako aggressive
Ile kumkamata kibaka kumpiga moto au kumshindilia msumari kichwani mpk hapo wabongo ni makatili
Nchi hii tusiombe kinuke maana kuja kutulia itakuwa shuguli pevu

Ova
Mnooo
 
Ati Tanzania ni nchi pekee? Fact check
Malawi
Zambia
Kenya
Mozambique
Angola
Zimbabwe *
Botswana
Namibia
South Africa
Mauritius

Zote hizo hazijawahi

Ila tu ukiangalia sana kwa nini hazijapinduliwa ni resources na IQ
 
Wananchi hawana Umoja na mshikamano hii ipo wazi, ungekuwepo basi watu wasingevumilia haya yanayoendelea hivi sasa
 
Usiombee njaa ya chakula na uchumi itokee nchini halafu serikali ishindwe kudhibiti matumizi ya raslimali za Taifa.Ikitokea hivi unategemea nini,?
Tusijisifu sana Bali tuiombee serilali I we inasoma temporeture ya nchi na wananchi wake tusike huko
 
Watz sio aggressive

ni tofauti na Kenya Nigeria na huko kwingineko hawa watu ni watata balaa, hawa ukizingua kinawaka muda wowote
Sababu kuu ni ukabila akishika kabila ingine humfanyia figisu
 
Kuna mazindiko...zindiko kubwa la LINDI

View: https://youtu.be/C_O1Becq0bs?si=I5usuzwgKRALt1GVkuna zindiko la kukimbiza MWENGE.
Kuna mazindiko...zindiko kubwa la LINDI

View: https://youtu.be/C_O1Becq0bs?si=I5usuzwgKRALt1GVkuna zindiko la kukimbiza MWENGE.
Kwa mazindiko haya, sahau kuhusu mapinduzi.

Tumefungwa minyororo haswa, hata maafisa wa jeshi wamepigwa makufuli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ

Nchi nzima tumekuwa mazezeta wenye AKILI MGANDO, mashetani yaliyovuviwa juu ya ardhi ya Tanganyika yametukamata vichwa 24hrs ili tuwe wapole kama makondoo.

Kumbe ndio maana akina chiembe wanatamba.... nyoko sana chiembe na certificate yako ya Law of contract.
 
zindiio na zindiko la kukimbiza MIENGE YA MOTO.
 

Attachments

  • images - 2025-08-31T070603.565.jpeg
    25 KB · Views: 38
No. Sababu ni elimu ndogo inawafanya kuridhika na corruption iliyopo kwenye mifumo ya jeshi
Yes Elimu ndogo . Ndio maana nimesema mleta mada hajafanya research ya kutosha. Kaandika mambo mengi but Jibu ni moja tu . ELIMU ndio maana kipaumbele cha lowasa kilikuwa ni elimu elimu elimu

Kitu pekee watanzania wataweza kuandamqna ni ukigusa dini zao …. Hapo ndio ujue why shida ni elimu
 
Kwa hiyo ccm imeshafanya analysis na kugundua yote hayo wao wakaamua wakae angel ya kutupiga kwny madini,utalii nk ambapo sisi wa tz wa chini level yetu ni kilimo na ufugaji? Ni kwl kwa mbongo ni ngumu kuingia road kudai haki ikiwa ndan ana magunia sita ya mpunga,maharage,njugu uani kuna zizi la ng'ombe 6 ,mbuzi 11 kuku 10
UPOLE UNA TUHUKUMU GO ABDUL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…