Kwanini Tanzania haiwezekani kutokea machafuko wala mapinduzi ya kijeshi

Wameshindwa m-monitor Captain Tesha ndo iwe unachosema? Wao wenyewe washachoka
 
Umeandika.

"Tanzania ni nchi ya pekee barani Afrika ambayo haijawahi kushuhudia mapinduzi ya kijeshi..."

Hii habari si ya kweli.
 
... tuliisha orodheshewa maadui zetu, yaani ujinga, umasikini na maradhi, NA TUNAPAMBANA NAO!
👊
 
We malaya mlisema hivyo hivyo kwa nini hata rais hataweza mufa madarakani ila magu akafa, ninyi ccm mtaumbuliwa na maneno yenu
Na bado part 2 inakuja hvi karibuni. Stay tuned. Yajayo yanafurahisha sana from Msoga to Urojoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…