Wakuu kwanini hiki kitu hakipo Tanzania. Ni biashara nzuri sana. Tena Tanzania kuna kazi nyingi sana za maigizo zimeandikwa.
Marekani kuna broadway, mkusanyiko wa theatre nyingi sana. Wanaingiza pesa nyingi sana.
Atokee mtu ajenge ukumbi na kuajiri maproducers, madirector na waigizaji atapiga pesa sana. Watu na familia zao watakuja wikiendi. Waigizaji wapo wengi kutoka chuo cha bagamoyo na vinginevyo.
Au bongo haiwezi kulipa?

Unaongelea kama ile ya Kenya Churchill Show?
Wakenya wapo vizuri sana. Wana online entertainment YouTube zina content tamu tamu sana..
Muulize Mrisho MpotoWakuu kwanini hiki kitu hakipo Tanzania. Ni biashara nzuri sana. Tena Tanzania kuna kazi nyingi sana za maigizo zimeandikwa.
Marekani kuna broadway, mkusanyiko wa theatre nyingi sana. Wanaingiza pesa nyingi sana.
Atokee mtu ajenge ukumbi na kuajiri maproducers, ma-director na waigizaji atapiga pesa sana. Watu na familia zao watakuja wikiendi. Waigizaji wapo wengi kutoka chuo cha bagamoyo na vinginevyo.
Au Bongo haiwezi kulipa?
Sio anafanya tu, ni mwalimu qualified kabisa anayewafundisha watu SANAA ZA MAONESHO MA UIGIZAJI PIAMpoto anafanya hizi mambo?
Usiwasifie hawa watu dah! Wanapenda kujimwambafy mpk basi😂Wakenya wapo vizuri sana. Wana online entertainment YouTube zina content tamu tamu sana..
Mpoto anafanya hizi mambo?
Sio anafanya tu, ni mwalimu qualified kabisa anayewafundisha watu SANAA ZA MAONESHO MA UIGIZAJI PIA
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
YeahWakenya wakiona hii watavimba vichwa, si unajua jinsi wanavyopenda ujiko, 🤣
Tumalizie kwanza Madarasa waliochaguliwa kidato Cha kwanza 2021 wapate pa kusomea.Enzi zetu akina Mzee Kongo na timu yake, Mzee Jangala na timu yake na wakali wengine, theatres zilibamba sana. Jamaa walikuwa wanafanya mkoa kwa mkoa visits kutupa burudani.
Walipoanza kurekodi maigizo yako kwenye tapes na baadae CD's performance art ikaanza kupoteza biashara. Wahindi "promoters" wakawa wanafaidi KAZI za wasanii mayo performance art ikazidi kupotea. Nakumbuka tulikuwa na community centers za maana wakati ule ambazo zilikua zinalea local arts hasa waigizaji.
Hili wazo umeleta mkuu sio jipya na usemavyo ni Sawa. If you have this vision make it happen.
Best wishes
Hahahahahaha.,.Na Pia Edward Ngoyai Lowassa ni mtaalam wa hizi mambo
Tymewaachia Diamond jubilee mfanye mambo yenu usitafute visingizio.Wakuu kwanini hiki kitu hakipo Tanzania. Ni biashara nzuri sana. Tena Tanzania kuna kazi nyingi sana za maigizo zimeandikwa.
Marekani kuna broadway, mkusanyiko wa theatre nyingi sana. Wanaingiza pesa nyingi sana.
Atokee mtu ajenge ukumbi na kuajiri maproducers, ma-director na waigizaji atapiga pesa sana. Watu na familia zao watakuja wikiendi. Waigizaji wapo wengi kutoka chuo cha bagamoyo na vinginevyo.
Au Bongo haiwezi kulipa?
Pale chuo cha mkwawa kuna ukumbi uliokua unatumika kwa kazi hiyo. Unatumika kwa mihadhara lakini bado setting za kuigizia bado zipo
Huo ukumbi wa maigizo Upo pale Dodoma, wanauita sijui "Bunge la Jamhuri ya Muungano" .Wakuu kwanini hiki kitu hakipo Tanzania. Ni biashara nzuri sana. Tena Tanzania kuna kazi nyingi sana za maigizo zimeandikwa.