Kwanini Tanzania hakuna kumbi(theatre) za kuonyesha sanaa za maigizo jukwaani?

hayo mawazo tunayo lakn tukifikiria kodi kodi kodi kodi ilivyo kubwa........acha ninywe dhabihu tu.
 
Pale jirani na St Peters kuna the Little Theatre
 
Same as Nkurumah Hall hapa UDSM.
unatakiwa ujengwe kama Nkrumah ilivyojengwa yaani kwa nyuma mnapata sehemu ya kubadilisha nguo na kusuburia role yako.
Hata pale arts UDSM wanafanyaga maonesho watu ni wachaaaaaache saaaaana.....hata 200 hawafikagi na hapo chuo chao kinakuwa kimefungiliwa kiufupi watz hawana hobi saaaan na hizi sanaa....na ndiyo sanaa ngumu zaidi...huwa naamini mtu akiweza hapo anakuwa yuko vizuri ktk maigizo mengine yyte.....
 
Well said... Watanzania hawana hobby. Agreed
 
Wakuu kwanini hiki kitu hakipo Tanzania. Ni biashara nzuri sana. Tena Tanzania kuna kazi nyingi sana za maigizo zimeandikwa.
Marekani kuna broadway, mkusanyiko wa theatre nyingi sana. Wanaingiza pesa nyingi sana.

Atokee mtu ajenge ukumbi na kuajiri maproducers, ma-director na waigizaji atapiga pesa sana. Watu na familia zao watakuja wikiendi. Waigizaji wapo wengi kutoka chuo cha bagamoyo na vinginevyo.

Au Bongo haiwezi kulipa?
Pale karibu na na Chuo cha IFM Dar,kuna Makumbusho pale kuna ukumbi mzuri sana wa kisasa ulijengwa kwa msaada wa wachina kwa shughuli hizo na hizo shughuli huwa zinaedelea pale tena wakati mwingi ni free entrence lakini hakunaga watu wanaatend.
 
Mnazimmoja Dar es Salaam ipo japo haikutengenezwa na wataalamu, na Zanzibar ipo ya miaka mingi sana. Dar ni kile kijumba cha mviringo kilichopo kwenye bustani.
 
Pale karibu na na Chuo cha IFM Dar,kuna Makumbusho pale kuna ukumbi mzuri sana wa kisasa ulijengwa kwa msaada wa wachina kwa shughuli hizo na hizo shughuli huwa zinaedelea pale tena wakati mwingi ni free entrence lakini hakunaga watu wanaatend.
Unaweza kuta watu hata hawajui kama kuna kitu kama hicho. Pia hivi vitu vya bure huwa na quality ndogo na huwa vinashindwa hata kujitangaza.
 
unatakiwa ujengwe kama Nkrumah ilivyojengwa yaani kwa nyuma mnapata sehemu ya kubadilisha nguo na kusuburia role yako.
Hata pale arts UDSM wanafanyaga maonesho watu ni wachaaaaaache saaaaana.....hata 200 hawafikagi na hapo chuo chao kinakuwa kimefungiliwa kiufupi watz hawana hobi saaaan na hizi sanaa....na ndiyo sanaa ngumu zaidi...huwa naamini mtu akiweza hapo anakuwa yuko vizuri ktk maigizo mengine yyte.....
Mi naamini watz wengi wana hobi na hii kitu. Japo tupo ulimwengu wa digitali lakini sanaa za maonyesho zina ladha yake. Ni kama ladha ya mziki wa live.
Nimeona hapa nyingi ni kumbi za vyuo na kwenye meuseum. Hizi ambazo haziendi kibiashara huwa zinaquality ndogo na huwa hazijitangazi. Unakuta quality ya stage ni mbovu na haiendani na onyesho, sound ni mbovu, costume ni mbovu nk.
Onesha quality huwezi tofautisha na movie.

Halafu kingine watu huwa hawavalue kitu cha bure.
 
Back
Top Bottom