unatakiwa ujengwe kama Nkrumah ilivyojengwa yaani kwa nyuma mnapata sehemu ya kubadilisha nguo na kusuburia role yako.Same as Nkurumah Hall hapa UDSM.
Well said... Watanzania hawana hobby. Agreedunatakiwa ujengwe kama Nkrumah ilivyojengwa yaani kwa nyuma mnapata sehemu ya kubadilisha nguo na kusuburia role yako.
Hata pale arts UDSM wanafanyaga maonesho watu ni wachaaaaaache saaaaana.....hata 200 hawafikagi na hapo chuo chao kinakuwa kimefungiliwa kiufupi watz hawana hobi saaaan na hizi sanaa....na ndiyo sanaa ngumu zaidi...huwa naamini mtu akiweza hapo anakuwa yuko vizuri ktk maigizo mengine yyte.....
Pale karibu na na Chuo cha IFM Dar,kuna Makumbusho pale kuna ukumbi mzuri sana wa kisasa ulijengwa kwa msaada wa wachina kwa shughuli hizo na hizo shughuli huwa zinaedelea pale tena wakati mwingi ni free entrence lakini hakunaga watu wanaatend.Wakuu kwanini hiki kitu hakipo Tanzania. Ni biashara nzuri sana. Tena Tanzania kuna kazi nyingi sana za maigizo zimeandikwa.
Marekani kuna broadway, mkusanyiko wa theatre nyingi sana. Wanaingiza pesa nyingi sana.
Atokee mtu ajenge ukumbi na kuajiri maproducers, ma-director na waigizaji atapiga pesa sana. Watu na familia zao watakuja wikiendi. Waigizaji wapo wengi kutoka chuo cha bagamoyo na vinginevyo.
Au Bongo haiwezi kulipa?
Mnazimmoja Dar es Salaam ipo japo haikutengenezwa na wataalamu, na Zanzibar ipo ya miaka mingi sana. Dar ni kile kijumba cha mviringo kilichopo kwenye bustani.Wakuu kwanini hiki kitu hakipo Tanzania. Ni biashara nzuri sana. Tena Tanzania kuna kazi nyingi sana za maigizo zimeandikwa.
Marekani kuna broadway, mkusanyiko wa theatre nyingi sana. Wanaingiza pesa nyingi sana.
Atokee mtu ajenge ukumbi na kuajiri maproducers, ma-director na waigizaji atapiga pesa sana. Watu na familia zao watakuja wikiendi. Waigizaji wapo wengi kutoka chuo cha bagamoyo na vinginevyo.
Au Bongo haiwezi kulipa?
Unaweza kuta watu hata hawajui kama kuna kitu kama hicho. Pia hivi vitu vya bure huwa na quality ndogo na huwa vinashindwa hata kujitangaza.Pale karibu na na Chuo cha IFM Dar,kuna Makumbusho pale kuna ukumbi mzuri sana wa kisasa ulijengwa kwa msaada wa wachina kwa shughuli hizo na hizo shughuli huwa zinaedelea pale tena wakati mwingi ni free entrence lakini hakunaga watu wanaatend.
Mi naamini watz wengi wana hobi na hii kitu. Japo tupo ulimwengu wa digitali lakini sanaa za maonyesho zina ladha yake. Ni kama ladha ya mziki wa live.unatakiwa ujengwe kama Nkrumah ilivyojengwa yaani kwa nyuma mnapata sehemu ya kubadilisha nguo na kusuburia role yako.