Kwanini Tanzania hatufiki mbali kwenye michezo hasahasa mpira wa miguu!!

Kwa sababu tumeua vipaji kuanzia UMITASHUMTA,UMISETA hadi kombe la taifa ambapo kila mkoa ulikuwa na Timu.. vipaji vingi vimepotea
 
Mbali kufanya nini? uwanja wa taifa unatosha tena una vigezo vyote, urusi 2018 tukafanye nini
 
Sasa uwanja ndo utatufanya tufke mbali khaaaa we jamaa vp mbona cjakusoma kabisa
 
rudia kusoma kwa makini, read btn the lines and connect dots utanisoma
Ni kwamba hatuna mipango endelevu ya kuendeleza soka letu, tumeridhika na ujenzi wa uwanja tutaishia kucheza hapahapa na sio mikakati ya kufika mbali kwenye mashindano ya kimataifa ikiwemo kombe la dunia urusi
 
wakati nchi ina adabu na kila kitu tulikuwa tunajitahidi kufuata sheria ,maendeleo ya soka yalikuwepo ukilinganisha na wakati huu,bila Developing programmes kuanzia taifani hadi kwenye mtaa ni ngumu mno,kipindi hicho kila timu kubwa mfano Yanga na Simba zilikuwa na mipango mizuri sana na kugundua vipaji vya wachezaji na kuwaingiza kwenye mfumo wa kuwaendeleza,kumbuka timu zao B na Kids zilikuwa ndio source kubwa ya kupata wachezaji bora,wachezaji kama Kasimu Manara.Mohamed Richard,Juma Pondamali wote hawa walitokea Yanga kids,sasa timu gani ina mfumo huu?kivhwa cha mwendawazimu kitaendelea kuwepo,ni lazima tuwe na mipango na malengo nini tunahitaji kuyafikia katika soka.
 
Siyo soka peke yake bali ni kila kitu mkuu. Hatuko siriazi karibu katika kila kitu. Limfumo letu lote la uendeshaji mambo linanuka. Soka itasalimikaje?
 
Ni kwamba hatuna mipango endelevu ya kuendeleza soka letu, tumeridhika na ujenzi wa uwanja tutaishia kucheza hapahapa na sio mikakati ya kufika mbali kwenye mashindano ya kimataifa ikiwemo kombe la dunia urusi
[emoji109][emoji109]
 
wakati nchi ina adabu na kila kitu tulikuwa tunajitahidi kufuata sheria ,maendeleo ya soka yalikuwepo ukilinganisha na wakati huu,bila Developing programmes kuanzia taifani hadi kwenye mtaa ni ngumu mno,kipindi hicho kila timu kubwa mfano Yanga na Simba zilikuwa na mipango mizuri sana na kugundua vipaji vya wachezaji na kuwaingiza kwenye mfumo wa kuwaendeleza,kumbuka timu zao B na Kids zilikuwa ndio source kubwa ya kupata wachezaji bora,wachezaji kama Kasimu Manara.Mohamed Richard,Juma Pondamali wote hawa walitokea Yanga kids,sasa timu gani ina mfumo huu?kivhwa cha mwendawazimu kitaendelea kuwepo,ni lazima tuwe na mipango na malengo nini tunahitaji kuyafikia katika soka.
Fact[emoji109][emoji109]
 
Back
Top Bottom