Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nchi kama Tz sio lolote pale UN ipige kura wala isipige haiwezi kuathiri lolote katika maamuzi ya hao watu, bora tukae kimya mpaka pale tutakapo kua superpower kama wao.....Kura ya kuilaani Urusi kwa kitendo chake cha kuyaongezea majimbo ya Donesk, Luhansk, Kherson na Zaporizhia kwenye ramani ya nchi yao imepigwa kwenye Umoja wa Mataifa, huku Tanzania ikiamua kutochagua kulaani wala kupinga Urusi kulaaniwa.
Hii si mara ya kwanza kwa Tanzania kutochukua upande (Abstention) kwenye mambo yanayoihusu Urusi. Sisi kama taifa msimamo wetu ni upi?
NAKAZIASera ya Tanzania ya mambo ya nje ni kutofungamana na upande wowote na hii Sera ipo tangu enzi za Mwalimu, ulale pema kiongozi wetu tunapokwenda kuadhimisha kumbukumbu ya kifo chako bado nchi inakukumbuka kwa mazuri daima.
Wapiganapo tembo ziumiuzo ni nyasi. Kutokuwa na upande ni heri kwa nchi yetu kwa sababu bado in tegemezi kwa wote hivyo tunajiweka katika hatari ya kujitenga zaidi
Mwisho ,katika vita ya Ukraine na urusi hatuna maslahi yoyote yanayohatarisha amani na usalama kiasi cha kwamba tunatakiwa kuchagua upande tutakao kuwa salama
Suala la kutochagua upande ni zaidi ya kuwa sisi ni ombaomba. Tena wenye nguvu ya kiuchumi (ambao tungeenda kwao kuwaomba omba) ndiyo wale ambao wangependa tuwe na msimamo dhidi ya Urusi. Sababu kwa nini hatupigi kura ya kulaani au kusupport ni kwamba vita yao haituhusu sisi.Usitukane mamba kabla hujavuka mto
Nchi yetu ni ombaomba haiwezi kuwa na rafiki au adui wa kudumu
Kwani kura za awali za kukemea uvamizi walipiga wapi!!?? Unafahamu msimamo wa nchi yako tangu uhuru !!??Kura ya kuilaani Urusi kwa kitendo chake cha kuyaongezea majimbo ya Donesk, Luhansk, Kherson na Zaporizhia kwenye ramani ya nchi yao imepigwa kwenye Umoja wa Mataifa, huku Tanzania ikiamua kutochagua kulaani wala kupinga Urusi kulaaniwa.
Hii si mara ya kwanza kwa Tanzania kutochukua upande (Abstention) kwenye mambo yanayoihusu Urusi. Sisi kama taifa msimamo wetu ni upi?
Kama huna hela huwezi kuwa jasiri na kama huna ujasiri huwezi kuwa na msimamo. It's that simple.
Kura ya kuilaani Urusi kwa kitendo chake cha kuyaongezea majimbo ya Donesk, Luhansk, Kherson na Zaporizhia kwenye ramani ya nchi yao imepigwa kwenye Umoja wa Mataifa, huku Tanzania ikiamua kutochagua kulaani wala kupinga Urusi kulaaniwa.
Hii si mara ya kwanza kwa Tanzania kutochukua upande (Abstention) kwenye mambo yanayoihusu Urusi. Sisi kama taifa msimamo wetu ni upi?
Tuna serikali dhaifu isiyokuwa inaelekea wapi zaidi ni kuiba kodi za wananchiKura ya kuilaani Urusi kwa kitendo chake cha kuyaongezea majimbo ya Donesk, Luhansk, Kherson na Zaporizhia kwenye ramani ya nchi yao imepigwa kwenye Umoja wa Mataifa, huku Tanzania ikiamua kutochagua kulaani wala kupinga Urusi kulaaniwa.
Hii si mara ya kwanza kwa Tanzania kutochukua upande (Abstention) kwenye mambo yanayoihusu Urusi. Sisi kama taifa msimamo wetu ni upi?
Mwendo wa kuembeza bakuri tu..kesho tupo Ukraine kesho kutwa tupo Urusi..[emoji28][emoji28] hatutaki kuwaudhi mabosi.Tunajiita nchi isiyofungamana na upande wowote, ambapo kimsingi hilo jina limesababishwa na kuwa kwetu tegemezi kiuchumi, tunaishi kwa kuomba misaada na mikopo toka sehemu zote duniani.