Pia bei sio rafiki kwa wageni hifadhiniSiasa safi na uongozi bora ndio vitu vinavyotukwamisha kama Taifa.
Watu na Ardhi vipo.
Ni kwamba tuna tamaa au nini?Ila Tanzania utalii wa safari tour ni bei sana...mfano hulu Indonesia mtalii anatolia ulaya au japan kuja bali kwa sababu ni almost bure pesa anayolipa ni ndogo sana ..utalii wa Tanzania umejikita kwa matajiri wachache wa huko ulaya
Sijui walizingatia nini sasa kwa sababu mtu kuja serengeti kwa mfano ku enjoy week lazima awe na zaidi hata ya million 10 wakati mtu huyo huyo aende bali au komodo dragon anatumia labda million 3 au 5 kwa week..na tushukuru tuma serengeti na kilimanjaro na zanzibar isingekuwa hivyo basi tungepokea watalii laki 5 tu kwa mwakaNi kwamba tuna tamaa au nini?
Wapunguze gharama za utalii kwenye underrated parks kama Ruaha, Katavi and so on
Hili nimesikia sana watalii wakilalamikia, mfano Zanzibar hoteli ni ver expensive. Mtu anaona bora aende Indonesia ambayo ina maeneo mengi yenye beach kama za Zanzibar na inagharimu pesa chache mno
Indonesia inapokea watalii wa nje milioni 15 kwa mwaka. Sisi tunayumba sana
Hapo ndio utajua upele humwota asiye na kuchaSijui walizingatia nini sasa kwa sababu mtu kuja serengeti kwa mfano ku enjoy week lazima awe na zaidi hata ya million 10 wakati mtu huyo huyo aende bali au komodo dragon anatumia labda million 3 au 5 kwa week..na tushukuru tuma serengeti na kilimanjaro na zanzibar isingekuwa hivyo basi tungepokea watalii laki 5 tu kwa mwaka
Kwa kweli kama tungekuwa na uongozi bora tungekuwa mbali. Hapa nimefuatilia Indonesia kumbe wenzetu wameachia nchi yao visa free kwa nchi nyingi sana duniani, ndio maana ni rahisi kupata wataliiSiasa safi na uongozi bora ndio vitu vinavyotukwamisha kama Taifa.
Watu na Ardhi vipo.
Watakii siyo lazima wawe hao wanaoe da MBUGANI.Hapa naongelea WATALII WA NJE
Kila nikifikiria naona kama hapa Africa, tunapaswa kuwa top 3 ya kupokea watalii kwa sababu ukiondoa overrated Egypt, sijaona nchi ya Africa inafikia Tanzania kwa vivutio vya utalii
Pia utalii wa maeneo kama Ruaha, Katavi na Gombe ni so underrated nahisi haujafanyiwa promo ipasavyo
Kwa kuzingatia, wakati sisi binadamu wa Tanzania tunaboronga kwenye kujenga nchi yetu seriously lakini suala la nature, Tanzania ni very GOATED place. So if we suck at building our country, may be we shouldn't suck at promoting nature too
Fikiria nchi yoyote ile ya Africa ambayo ina vivutio vyote hivi kwa pamoja
- Serengeti National Park (Wildebeest migration, best national park for wildlife ina Africa)
- Zanzibar (white sands, beaches, rich history)
- Ngorongoro (wildlife, the shifting sands of Ngorongoro, the crater)
- Mount Kilimanjaro
- Mount Ol Doinyo Lengai
- Tarangire National Park
- Katavi National Park
- Mikumi National Park
* Ruaha National Park (watu wengi hawajui, lakini asilimia 10 ya simba wote Africa wanapatikana hifadhi ya Ruaha pekee, kiasi cha watalii Ruaha hakiridhishi ukifananisha na how amazing it is)
*Gombe & Mahale National Parks (one of the most underrated places in Tanzania, makazi ya primates wa kila aina, especially chimpanzees)
The list goes on
- Mount Meru
- Rubondo Island
- Lake Natron (very alkaline lake, home to millions of flamingos in the world and it's just in the same location with Mount Ol Doinyo Lengai, not to mention jinsi inavyobadili maiti za wanyama kuwa kama mawe)
- Eneo kubwa la bahari ambalo tunaweza kujenga hoteli za luxury na kuzifanyia promo
- Selous Game Reserve
- Lake Manyara National Park (so underrated)
Kwa hivi vivutio vya Tanzania tunastahili watalii milioni 10+. Inaonekana hatupo vizuri kwenye kutangaza vivutio vya utalii
Nashangaa hadi Kenya inapata watalii sawa na sisi, ukizingatia vivutio vya utalii Kenya ni child's play ukifananisha na Tanzania
View attachment 3563467View attachment 3563468View attachment 3563469View attachment 3563470View attachment 3563471View attachment 3563472View attachment 3563473View attachment 3563474View attachment 3563475View attachment 3563476View attachment 3563477View attachment 3563478View attachment 3563479View attachment 3563480View attachment 3563481
So sad, inabidi tubadili mfumoChini ya CCM usije fikiria hata siku moja kuna mambo yatabadirika hapa nchini!,NEVER!
Kwa hapa Africa nchi gani? Maana Tanzania ni ya 6 kwa watalii, just next after KenyaKuna nchi zina vifutio vizuri sana kuliko Tanzania, na ndio huenda wengi wanaenda huko
Watalii wanaangalia vitu vingi, moja ya vitu wanavyoangalia ni mbuga za wanyama. Vivutio ni vingina ni nani amekudanganya kwamba watalii wanataka kuona mbuga ya wanyama? ...