Kwanini Tanzania kwenye mahafali wageni waalikwa sio watu waliofanikiwa bali watu wa siasa/watu wa Serikali tu?

Kwanini Tanzania kwenye mahafali wageni waalikwa sio watu waliofanikiwa bali watu wa siasa/watu wa Serikali tu?

Huwa wanaomb mialko kwenye mikusanyiko ili wapate kujulikana ..🙂

Kuna cham x aliniambia kila nikiita vikao na jamii nmpe mualko
NIMEKUPATA MKUU,DUH NOMA SANA TAREHE MBAYA HIZI ,HAWACHEZI MBALI.KUMBE WANATUIGIZIA TU😁
 
Back
Top Bottom