Malchiah
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 1,928
- 20,577
Habari ya uzima ndugu zangu?
Nimewaza sanaaa hili jambo,maana naona namna mwananchi wa chini kiuchumi anavyoendelea kuminywa kupitia ongezeko la mafuta.
Ni miezi miwili imepita madereva mkoani Mbeya walikuwa wanakimbilia Zambia kununua mafuta,maana ni bei nzuri kuliko kwetu. Au ndio tunakomoana wenyewe Kwa wenyewee?
Hivi serikali haioni namna nyingine yeyote ya kumrahisishia maisha mwananchi wa kawaida kukabiliana na adha ya mfumuko wa bei?
Kuna wakati namkumbuka Magufuli,kuna vitu alisimamia na kuvitekeleza vikampa hauweni "mnyonge",now naona "mnyonge" akinyongelewa.