Soko la nje la crude oil (in usd),na je unanunua crude iol or refined one?,exchange rate ya ths.na usd,na kodi za ndani;vitu hivyo ndivyo vinavyoleta bei kuwa juu au chini,Botswana kama Zambia ni land locked country ila mafuta yake ni P10 kwa lita! Tufanye kazi smart sio hard ili uchumi wetu uongezeke na pls my finance minister ondoa zero zote kwenye ths yetu na pag ths yetu kwa Botswana pula,then tuanze upya kuijenga nchi yetu na tujenge wote sio kuwaachia ccm pekee!