du noma sanaKuna kijana aliteseka na ma PCM yake akapiga computer science now anasaga lami mtaani kila siku kunisumbua nimpe connection serikalini wakati hali imechafuka siku hizi...
Nawapongeza kuwa na higher expectations inawapa courage but ukija kwenye real life ni stress tupu....
Kuna mtu anaitwa martin chegere.
Aliongoza darasa la saba mwaka 2000 akaja ongoza kidato cha nne mwaka 2004 akaja ongoza form six mwaka 2007. Kawa best student UDSM mwaka 2010 hapa alivunja rekod ya prof. Lipumba.
Kakimbiza saana masterz kwa wana economics pale UDSM
Saiz anatia adabu huko nje anapofanya PHD yake.
ni wachache sana tena ni nadra kwa Kumantain level zote wengi hupotezwa advanceWakuu naombeni kujuzwa waliofaulu vizuri form iv huwa wanaendelea kukimbiza vidato vinavyofuata? Alie na hizo data aweke hapa.
Kulikuwaga na jembe Ilboru alikuwa TO olevel na advance akawa TO ilikuwa 2002 na 2004 kama cjakosea miaka
Mosses mwizarubi huyo jomba alikuwa sumu hatareee
Wakuu naombeni kujuzwa waliofaulu vizuri form iv huwa wanaendelea kukimbiza vidato vinavyofuata? Alie na hizo data aweke hapa.
safi sana sio wanapotea tu lazima wa maintain ubora wao
Grades dont measure intelligence and age doesn't define maturity...