Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Ukiangalia katika nchi za Afrika ya mashariki ni Tanzania pekeyake mtu anayeongea english uitwa msomi.
Hii inapelekea watu kuanza kuchanganya lugha anapoongea ili haonekane msomi.
Ukienda Uganda na Kenya english inazungumzwa na kila mtu iwe makondakta hadi machinga ata watoto wa mtaani.
Rwanda japo lugha yao kuu ni kinyarwanda pia kifaransa inafundishwa ukiongea english ni kawaida tu kama mtu anavyoongea kifaransa.
Umu ndani JF kuna watu wanaitwa wasomi sababu tu ya kuandika kwa english.
Sasa kwa nini Tanzania ukiongea english uitwe msomi.