Kwanini Tanzania peke yake wanaojua kuongea english wanaitwa wasomi?

Kwanini Tanzania peke yake wanaojua kuongea english wanaitwa wasomi?

Unachomaanisha sicho ulichoandika. Usihalalishe kutokujua kiingereza kwa kujifariji hasa kwa vijana wasiotia mkazo katika kujua lugha hii kwa ufasaha kwani mwisho wa siku madhala yake yako dhahili na wazi katika soko la ajira
 
Tanzania lugha kuu ni kiswahili, Kiingereza no dhahili kukijua vema hadi upige shule ya kutosha na hapo lazima utakua msomi tayari.
 
Tanzania nchi ya pili duniania kwa kuwa na IQ ndogo.
Wkend njema.
 
Back
Top Bottom