Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Umu ndani JF kuna watu wanaitwa wasomi sababu tu ya kuandika kwa english.
Akina nani hao ambao huitwa wasomi kwa sababu tu ya kuandika kwa English humu ndani (JF)?
wewe mmojawapo
Ukiangalia katika nchi za Afrika ya mashariki ni Tanzania pekeyake mtu anayeongea english uitwa msomi.
Hii inapelekea watu kuanza kuchanganya lugha anapoongea ili haonekane msomi.
Ukienda Uganda na Kenya english inazungumzwa na kila mtu iwe makondakta hadi machinga ata watoto wa mtaani.
Rwanda japo lugha yao kuu ni kinyarwanda pia kifaransa inafundishwa ukiongea english ni kawaida tu kama mtu anavyoongea kifaransa.
Umu ndani JF kuna watu wanaitwa wasomi sababu tu ya kuandika kwa english.
Sasa kwa nini Tanzania ukiongea english uitwe msomi.
Na si ni ukweli kwani?Ukiangalia katika nchi za Afrika ya mashariki ni Tanzania pekeyake mtu anayeongea english uitwa msomi.
Hii inapelekea watu kuanza kuchanganya lugha anapoongea ili haonekane msomi.
Ukienda Uganda na Kenya english inazungumzwa na kila mtu iwe makondakta hadi machinga ata watoto wa mtaani.
Rwanda japo lugha yao kuu ni kinyarwanda pia kifaransa inafundishwa ukiongea english ni kawaida tu kama mtu anavyoongea kifaransa.
Umu ndani JF kuna watu wanaitwa wasomi sababu tu ya kuandika kwa english.
Sasa kwa nini Tanzania ukiongea english uitwe msomi.
Wajinga wengi. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kwa Tanzania ni kweli maana kama haujapiga hata kidato ki1 huwezi kupasua mayai labda uishi na mzungu au asiyejua kiswahili tangu utotoni au uishi nje ya bongo hata kama haujasoma utakijua. Ndo maana ukiongea obvious inajulikana umepiga kidato.
Ila kwa nchi ambazo wao lugha yao kuu ni english hata mtoto wa mtaani ata jua tu kupasua mayai coz kakulia kwa lugha hiyo tofaut na bongo ambapo lugha ya kwanza kibantu ya pili kiswahili ya tatu mi english.
Mwalimu hapa umenena kitu sahihi kabisa. Mbali na mda husika ninaomba unitumie link au vitabu vya kujifunza lugha ya Kiigereza katika hatua zote maana kw msemo wako hli yai linatuwia vigumu sana sisi Watanzania hususani mimi kulivunja japo kwa kiwango cha kawaida. Natanguliza shukrani.
Ni mtazamo tu na uelewa wa mtu anayemwita mwenzake msomi eti kwa sababu ameongea au kuandika Kingereza.It is all abput "perception"Ukiangalia katika nchi za Afrika ya mashariki ni Tanzania pekeyake mtu anayeongea english uitwa msomi.