B Balacuda JF-Expert Member Joined Mar 8, 2013 Posts 1,389 Reaction score 714 May 10, 2014 #21 Unachomaanisha sicho ulichoandika. Usihalalishe kutokujua kiingereza kwa kujifariji hasa kwa vijana wasiotia mkazo katika kujua lugha hii kwa ufasaha kwani mwisho wa siku madhala yake yako dhahili na wazi katika soko la ajira
Unachomaanisha sicho ulichoandika. Usihalalishe kutokujua kiingereza kwa kujifariji hasa kwa vijana wasiotia mkazo katika kujua lugha hii kwa ufasaha kwani mwisho wa siku madhala yake yako dhahili na wazi katika soko la ajira
M Malugu wa Malugu Member Joined Apr 20, 2014 Posts 13 Reaction score 13 May 11, 2014 #22 Tanzania lugha kuu ni kiswahili, Kiingereza no dhahili kukijua vema hadi upige shule ya kutosha na hapo lazima utakua msomi tayari.
Tanzania lugha kuu ni kiswahili, Kiingereza no dhahili kukijua vema hadi upige shule ya kutosha na hapo lazima utakua msomi tayari.
arola54 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2014 Posts 664 Reaction score 142 May 11, 2014 #23 Tanzania nchi ya pili duniania kwa kuwa na IQ ndogo. Wkend njema.