Kwanini Tanzania tuko kwenye orodha ya nchi zisizo na furaha? Je, ni kweli hatuna furaha?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Inasikitisha kuona nchi yangu pendwa iko kwenye orodha za juu ya nchi zisizo na furaha kabisa duniani. Nina maswali machache ya kujiuliza na kuulizana:-

1. Je ni kweli hatuna furaha
2. Nini kimepelekea kuondoka kwa furaha yetu
3. Tufanyeje ili tuwe wenye furaha?
Screenshot_20201117-082308~2.png
 
1. Siwezi semea Watanzania wote, ila mimi SINA FURAHA. Nikiwa natembea njiani naona wengi hawana furaha. Familia yangu naona wote hawana furaha. Kwenye daladala/mwendokasi sura naona hazina furaha.

2. Pesa ngumu, huduma za kijamii mbovu, foreni kila mahala, ...

3. Serikali ituboreshee huduma..
 
1.Ajira zimekua ngumu kwa vijana.

2.Watu wanapotea kusipojulikana.

3.Wazee wana pigwa chenga kwenye mafao yao.

4.Ndani ya miaka mitano,hamna promotion yoyote kazini.

5.Hamna ongezeko la mshahara.

6.Riba ya Heslb kutoka 3% mpaka 15%.

7.Bei ya cement from 11,500Tzsh mpaka 22,000Tzsh.

Kwa hizo sababu hapo juu,hiyo furaha inatoka wapi ndugu yangu Bujibuji?.
 
1. Siwezi semea Watanzania wote, ila mimi SINA FURAHA. Nikiwa natembea njiani naona wengi hawana furaha. Familia yangu naona wote hawana furaha. Kwenye daladala/mwendokasi sura naona hazina furaha.

2. Pesa ngumu, huduma za kijamii mbovu, foreni kila mahala, ...

3. Serikali ituboreshee huduma..
Je serikali ndio chanzo cha watu kutokuwa na furaha?
 
1. Siwezi semea Watanzania wote, ila mimi SINA FURAHA. Nikiwa natembea njiani naona wengi hawana furaha. Familia yangu naona wote hawana furaha. Kwenye daladala/mwendokasi sura naona hazina furaha.

2. Pesa ngumu, huduma za kijamii mbovu, foreni kila mahala, ...

3. Serikali ituboreshee huduma..
If you can't face the heat get out of the kitchen mate.....wenyewe wanaamini furaha inakuja kwa kutukana serikali na kuchinjana kama Kenya kufurahisha mabeberu...
 
Nchi haina madawa, hamna wataalam wa afya wa kutosha, unaumwa unapata huduma mbovu za afya, unalipia matibabu lakini hamna madawa hospitalini, unakufa, serikali inazuia maiti yako hadi ulipie mamilioni.
CCM chanzo cha matatizo
 
If you can't face the heat get out of the kitchen mate.....wenyewe wanaamini furaha inakuja kwa kutukana serikali na kuchinjana kama Kenya kufurahisha mabeberu...
Elimu kweli ni bure, ila darasani watoto Ni zaidi ya 100, kelele mtindo mmoja, hawafundishwi wakaelewa, madawati hamna.
Watoto wa wakubwa wanasoma nje, wakirudi ndio wanaoajiriwa, ndio mabosi na ndio watawala
 
1. Siwezi semea Watanzania wote, ila mimi SINA FURAHA. Nikiwa natembea njiani naona wengi hawana furaha. Familia yangu naona wote hawana furaha. Kwenye daladala/mwendokasi sura naona hazina furaha.

2. Pesa ngumu, huduma za kijamii mbovu, foreni kila mahala, ...

3. Serikali ituboreshee huduma..
nimejikuta naumbuka wimbo wa "joto hasira" lol
 
Ukiwa na mentality hii sijui utaishi wapi labda mbinguni..in wazuri kunyoshea vidole kila MTU kasoro wewe tu
Je wewe unanfuraha?
Unafurahi kusikia maelfu ya wanafunzi wamehitimu lakini hakuna ajira? Unafurahi kusikia kuwa wengi wameuliwa Pemba ili mtoto wa boss awe rais? Kwenu mwapata maji safi na salama kila kaya? Je mna maisha Bora? Au ndio unafiki tu wa Watanzania kama asemavyo Khantwe ?
 
Back
Top Bottom